Yani huko ukitaka kuishi vizuri lazima uwe na kazi kuanzia mbili...yani mtu analala kama dawa..na kazi huko ni kazi haswa sio huku mtu upo kazini unachati
Kwamba nilochosema ni uongo..so kila anayeongelea ulaya amewahi kuishi. Yes nimeishi Iowa for 2 years..jingine?umeshawahi kufanya kazi huko ukaona wanavyolala kama dawa?
mwenye kazi chini ya mbili anakufa?
kazi huko kazi haswa mfano ipi?
Kwamba nilochosema ni uongo..so kila anayeongelea ulaya amewahi kuishi. Yes nimeishi Iowa for 2 years..jingine?
Mkuu mimi nipo kwenye nchi moja ya Europe...kama usemavyo si kila afanyaye kazi atabika kihivyo, Kazi haijapokewa kwa maana ya adhabu huku!sio vurugu umeongelea mambo kwa ujumla as if kila anayefanya kazi huko lazima afanye hivyo
wapo wenye kazi moja au mbili tu na wanapay bills na kusave wanalala wanafanya mambo mengine na kupata likizo. neno "lazima" kwenye post yako linamislead
lingine hujajibu maswal yangu yote
Achilia mbali swala la usafiri wa kila siku ambalo TZ ni pasua kichwaNi hivi, nje maisha ni mazuri kuliko Tanzania. Acha choo cha paspoti size hata choo cha nje ya nyumba sijawahi kukiona Ulaya au Marekani. Labda cha jumuiya.
Ila kama ulikulia Africa kusahau nyumbani haiwezekani hata hao wanaosema hawarudi tena Afrika ni waongo hawana amani ya moyoni.
Na hapo ndo tofauti inapoanziaYani huko ukitaka kuishi vizuri lazima uwe na kazi kuanzia mbili...yani mtu analala kama dawa..na kazi huko ni kazi haswa sio huku mtu upo kazini unachati
Na hapo ndo tofauti inapoanzia
Yaani mtu anaona kufanya kazi mbili ni ishu sana wakati ni kitu cha kawaida kabisa.Kazi ngumu haijawahi kuuwa mtu. Njaa inauwa watu kila siku.
Brother nipe maujanja na Mimi nijeMkuu Benny ulipotea Sana.
Mimi kurudi homu nikutembelea tu kwasasa. Ila mkakati wangu Ni kubeba boksi Kama Sina akili nzuri Hadi 2020 Happ nitakuwa nimesevu balaa Na nikichukua namkopo juu itakuwa balaa.
Kingine natamani sana kwenda kuishi Australia.
Nilikuwa bongo majuzi Ni kwetu ndio I'll watu wanaishi kimungumungu Na kubahatisha. Nchi haina dira, sheria ziko kwenye makaratasi, uonev u. Watu hawatunzi muda.
Njia sasa hivi rahisi ya kuingia ughaibuni ni kuruka hadi hapo Botswana, unatafuta mkwaju wao ukiupata tu unaruka nao. Nchi nyingi za Europe ukiwa na mkwaju wa kibotswana unaingia na entry tu. All the best.Brother nipe maujanja na Mimi nije
Ebwana eenh..Njia sasa hivi rahisi ya kuingia ughaibuni ni kuruka hadi hapo Botswana, unatafuta mkwaju wao ukiupata tu unaruka nao. Nchi nyingi za Europe ukiwa na mkwaju wa kibotswana unaingia na entry tu. All the best.
Msaada kidogo hivi Iowa ipo ulaya?Kwamba nilochosema ni uongo..so kila anayeongelea ulaya amewahi kuishi. Yes nimeishi Iowa for 2 years..jingine?