Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Sikuwa nawaza kuwa Diaspora kuwa wapumbavu wengi na wajinga wengi na marofa... (Napenda kutumia maneno haya kwakuwa ni maneno yaliyo wahi kutumiwa na viongozi wa juu wa nchi hii, Marofa, Wajinga, Wapumbavu)

na kwakuwa Mpumbavu hana jina lingine la kumuita tofauti na Mpumbavu na upumbavu wake, mjinga na ujinga wake, rofa na urofa wake...
 
Lofa...
 
Mi naicha nchiii ya jpm naendaa zangu uswisi mpambane na hali zenu wandugu
 
Je gharama state na vibali mbongo gani anaviweza
 
Kwahiyo shida yako nini mzee wa sifuri?
 
Je gharama state na vibali mbongo gani anaviweza
Wabongo wapo wengi states na wamejifanyia mambo mazuri kiuchumi. Kwa mfano, nina jamaa yangu ni dreva wa malori hivi sasa ana nyumba mbili, kwa sababu alifanya kazi kwa bidii na pesa yake yote aka invest kwenye property, badala kuhangaika na bongo kuishia kuibiwa.
 
Je gharama state na vibali mbongo gani anaviweza
Mkuu ulaya na states siyo kama bongo kununua nyumba cash au ujenge mwenyewe, au uchukuwe mkopo wa benki wenye riba kubwa ambayo hamna duniani kote!

Ulaya kwa mfano pale uingereza, kama credit history yako ni nzuri na unafanya kazi ambayo una earn £1200 per month kupata mortgage ya nyumba ni rahisi sana. Kwa mwezi rent ni sawa na kulipa mortgage kwa mwezi.

Mbona mkuu, mimi nina nyumba ya vyumba vitatu UK ambayo nilinunua 10years ago kwa £58000. Sasahivi hiyo nyumba nikitaka kuuza sikosi £250000. Na nimenunua nyingine one bedroom flat namempangisha Mnaijeria natengeneza £100 Kwa wiki.

Kwahiyo, kufanikiwa, kunawezekana kwa wabongo kama uko focused na kazi siyo kutuma tuma pesa bongo kwa project zakuibiwa.

Ata siku nikiamua ku resettle nyumbani, at least na income kutoka Europe ya nyumba zangu pamoja na pension. No worries!
 

Mkoa gani?
 
you must be genious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…