Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Somo limefika. Mwanadiaspora kumbuka ulichofuata nje na ukifuatilie. Kuna watanzania niliwakuta Japan. Walikuwa wamelala chini kama fito kwenye kichumba kidogo kama kabati la nguo kwa Marekani. Wanalala kwenye hicho kichumba kusevu kodi asubuhi wanaenda vibaruani kutafuta pesa. Wakitimiza mitaji wananua vya kununua wanarudi Bongo.

Maisha ya hivyo unaweza kuyaishi hata Ulaya na Marekani. Waspanish wale asiowataka Trump wanaishi kwa staili hiyo. Sevu pesa zikitimia rudi Bongo.

Ila kama umeamua kuishi nje fuata wenyeji waliofanikiwa wanavyofanya. Kama ni shule, mikopo,biashara, kazi za ufundi na kadhalika. Kwa mfano kwa Marekani kuna kazi nyingi za hovyo hovyo ukiziona lakini watu wanatengeneza zaidi ya dola laki kwa mwaka. Kuendesha ile milori mirefu ya masafa marefu ni moja wapo.

NA HUWEZI KUJICHANGANYA KAMA HUNA MAKARATASI. HUU NDIO UPUZI MKUBWA WANAOFANYA BAADHI YA WANADIASPORA. KUISHI BILA YA VIBALI. NI SHIIIIDA KWELI.

Bila ya kujitambua utamaliza miaka 20 nje unapanga kurudi nyumbani lakini huwezi kurudi na nje huna chochote cha maana.
 
Kuhusu kurudi Bongo kwanza hakikisha una uwezo wa kurudi nje Bongo kukikushinda.

Pili fanya mpango uwe unaendelea kupata kipato cha nje ukiwa Bongo. Kama mafao ya kustaafu au hata kodi ya nyumba yako.

Kabla ya kurudi piga tripu za mara kwa mara nyumbani. Sio ukae miaka kumi na tano hujarudi nyumbani uzuke tu na midola yako.

Kwa kifupi test zali kwanza. Test moto wa maji kabla hujayaoga. Ukimudu rudi ila kuwa na plan B ni muhimu. Wabongo wanasubiri ufeli wakucheke.

Usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja.

Rudi kwa mpangilio sio kichwa kichwa kama umepigwa patrisheni.
 
Halafu isije kuwa wanadiaspora wanataka kurudi kwa kumuogopa Trump. Jamaa kelele tu. Tena hiki kipindi chake kinaweza kuwa kizuri kwa kuwini Marekani.
 
Tema cheche mkuu, tema cheche...
Eti standard za juu?! Standard za juu utazipata hapa TZ na elimu yako (kama unayo)..
Kama ni swala la maji kutiririka ndani hata hapa lipo, kama umeme upo, hata kama ni mangumashi, kama vyakula wanavyotaka vipo TZ, tena fresh, sio vile vya kupiga sindano na viko frozen miezi 6..
Standard za juu wanazozungumzia labda ni uhakika wa elimu, malazi na afya, na kwa watoto wao, ambalo wengine watasema kweli, maana hakuna utajiri mzuri na wa uhakika utakaomuachia mtoto kama elimu...Hapo tumekubali kwa hilo...
Ila ukumbuke mpaka umefika huko ina maana hata wewe ulipata elimu fulani huku, je haikutosha kwa wewe kuajiriwa kwenye fanu yako? Je ulijiendeleza tena uwe sawa na standard zao za elimu?..
Haya , baada ya watoto kukuwa itakuaje? Maana unazeeka, unalinda magodown, factories etc, labda unafanya kazi za Care, mpaka lini? Au umeajiriwa kwenye Food Factories, kuna baridi kufa, kwa kazi za usiku mwili lazima uchoke tu...
Bado mbishi, je utaendelea kuwepo huko na ulipwe Pension kwenye nyumba kama za NHC huku kila wiki au ungependa uwe hapa na kajumba kako, kagari kako, mradi wako, uwape ajira Watz wafaidike na Mtz mwenzao aliyepata ujuzi huko..
Kwa kweli ni uamuzi wa mtu kweli, ila lazima ufike muda useme, tayari future ya watoto iko sorted, ya kwako je?!

Wanaotaka kurudi jipangeni, anza na sehemu ya kufikia, lete usafiri wako, njoo na ujuzi wako uliosomea huko, kama bado somea sasa, njoo na kamtaji, mambo swafi tu..

Uelewa wako wa maisha ya watanzania walioko nje ni sawa na wazungu wanaofikiri Tanzania kuna nyani na wanyama pori mijini.
 
Set mind ikae kiuwiziwizi tu, hapo uta make.
Bongo wizi ndiyo unafanya watu wasurvive kuanzia viongozi mpaka wafanyabiashara.

Hakuna kitu kiko straight bongo
 
Swala linalosumbuwa kwa sasa ni "Dual Nationality", kuna jamaa zangu UK walidai Mama Migiro kawaahidi litakuwa sorted..
Honestly TZ haiwezi kukataa kupata ujuzi, uzoefu, maarifa, na HELA toka kwa Diaspora kwa njia ile au nyingine...
JPM wanamuona he is a "Nationality", infact he is not, yeye labda anawataka mpaze sauti msikike, ili swala lije Bungeni...
 
Swala linalosumbuwa kwa sasa ni "Dual Nationality", kuna jamaa zangu UK walidai Mama Migiro kawaahidi litakuwa sorted..
Honestly TZ haiwezi kukataa kupata ujuzi, uzoefu, maarifa, na HELA toka kwa Diaspora kwa njia ile au nyingine...
JPM wanamuona he is a "Nationality", infact he is not, yeye labda anawataka mpaze sauti msikike ili, ili swala lije Bungeni...

Aiseee hii kitu Kama ilishindikana kwa JK na akina Membe...kwa JPM naona ni ngumu zaidi. Maana as a matter of reality Tz sioni bunge sasa hivi lenye kuongelea na kupitisha kitu ambacho JPM hana interests nacho. Then again exposure ya mkulu siyo kubwa kihivyo. It might take very long to convince him auone umuhimu WA dual nationality.
 
Aisee...!
Huku ndiyo bongo bana, mtu ana kaduka chochoro cha spare za toyo lkn yuko vizuri kimaisha usipime, sasa na wewe ukitaka life yake kafungue duka la spare za toyo ufurahie maisha ktk mwanga bora.

Huku ni Africa, life haiko straight kama kwa wenzetu

Kuna biashara za ku-make hapa bongo leo hii ukimpa mchongo mtu aliyetoka ulaya anakuona umemuonaje
 
Aiseee hii kitu Kama ilishindikana kwa JK na akina Membe...kwa JPM naona ni ngumu zaidi. Maana as a matter of reality Tz sioni bunge sasa hivi lenye kuongelea na kupitisha kitu ambacho JPM hana interests nacho. Then again exposure ya mkulu siyo kubwa kihivyo. It might take very long to convince him auone umuhimu WA dual nationality.
Jamaa is so mechanical, outdated na mhafidhina kuelewa juu ya dual citizenship.
 
Huku ndiyo bongo bana, mtu ana kaduka chochoro cha spare za toyo lkn yuko vizuri kimaisha usipime, sasa na wewe ukitaka life yake kafungue duka la spare za toyo ufurahie maisha ktk mwanga bora.

Huku ni Africa, life haiko straight kama kwa wenzetu

Kweli kabisa! Ujanja ujanja tu! Ndiyo maana tuna mtuhumiwa wa rushwa Ikulu, ‘akipambana’ na rushwa.
 
Somo limefika. Mwanadiaspora kumbuka ulichofuata nje na ukifuatilie. Kuna watanzania niliwakuta Japan. Walikuwa wamelala chini kama fito kwenye kichumba kidogo kama kabati la nguo kwa Marekani. Wanalala kwenye hicho kichumba kusevu kodi asubuhi wanaenda vibaruani kutafuta pesa. Wakitimiza mitaji wananua vya kununua wanarudi Bongo.

Maisha ya hivyo unaweza kuyaishi hata Ulaya na Marekani. Waspanish wale asiowataka Trump wanaishi kwa staili hiyo. Sevu pesa zikitimia rudi Bongo.

Ila kama umeamua kuishi nje fuata wenyeji waliofanikiwa wanavyofanya. Kama ni shule, mikopo,biashara, kazi za ufundi na kadhalika. Kwa mfano kwa Marekani kuna kazi nyingi za hovyo hovyo ukiziona lakini watu wanatengeneza zaidi ya dola laki kwa mwaka. Kuendesha ile milori mirefu ya masafa marefu ni moja wapo.

NA HUWEZI KUJICHANGANYA KAMA HUNA MAKARATASI. HUU NDIO UPUZI MKUBWA WANAOFANYA BAADHI YA WANADIASPORA. KUISHI BILA YA VIBALI. NI SHIIIIDA KWELI.

Bila ya kujitambua utamaliza miaka 20 nje unapanga kurudi nyumbani lakini huwezi kurudi na nje huna chochote cha maana.
Naam,
Kazi kwa malengo na ujue unachokitafuta.
Nina rafiki zangu wengi tu walikwenda nje huko USA 25-30yrs ago lkn hakuna hata mmoja aliyejipanga.
Most of them wameshindwa kabisa kurudi na wanaokuja ni kuja na kuondoka lkn kitu walichofanya huku home ni -0 (nothing to the max)
 
Kweli kabisa! Ujanja ujanja tu! Ndiyo maana tuna mtuhumiwa wa rushwa Ikulu, ‘akipambana’ na rushwa.
Hahahahaha!!
Kibongobongo hiyo, unafiki mwingii.

Rushwa ni adui wa haki,
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Kumbe anawazuga tu, wadau wanakwambia wenyewe ukiwa serikalini ukipata chance ya kuiba iba haaswaa, ukitoka hapo kajipange
 
Nakubali kabisa, kuanzia Mzee JR kusema hahusiki na kuna wezi wa hii issue, EPA ilifanyika sasa sijuwi kama iliwatosheleza wahusika, Meremeta Gold na Kigoda we don't know...
Je kumbe wanasema hivi kumbe wanalindana??!!!
Time will tell..
 
Naam,
Kazi kwa malengo na ujue unachokitafuta.
Nina rafiki zangu wengi tu walikwenda nje huko USA 25-30yrs ago lkn hakuna hata mmoja aliyejipanga.
Most of them wameshindwa kabisa kurudi na wanaokuja ni kuja na kuondoka lkn kitu walichofanya huku home ni -0 (nothing to the max)

Sasa mimi nimefunga mwaka jana kwa dola laki na hamsini. Na sio dokta wala mkurugenzi. Misele ya kawaida tu. Nirudi Bongo kwa lipi?
 
Back
Top Bottom