Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,679
Pole sana,sikujua tu ugonjwa unaoumwa,am really sorry Rebeca.unanikosea bure mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,sikujua tu ugonjwa unaoumwa,am really sorry Rebeca.unanikosea bure mkuu
Tuachieni Dar yetu kwani mmefungwa kamba mbaki?Kwa kweli mtu anayejua maana ya maisha na kuyafurahia maisha hawezi kuishi Dar.....
Dar ni kero kama sio shida zaidi ya matatizo.....
Yaani nikitoka nje ya Dar moyo wangu unakuwa na amani sana....
Nikija London nitapita kukusalimia. Enfield,Stratford,Leytonstone,Ealing,Acton au Kilburn?unanikosea bure mkuu
Tema cheche mkuu, tema cheche...
Eti standard za juu?! Standard za juu utazipata hapa TZ na elimu yako (kama unayo)..
Kama ni swala la maji kutiririka ndani hata hapa lipo, kama umeme upo, hata kama ni mangumashi, kama vyakula wanavyotaka vipo TZ, tena fresh, sio vile vya kupiga sindano na viko frozen miezi 6..
Standard za juu wanazozungumzia labda ni uhakika wa elimu, malazi na afya, na kwa watoto wao, ambalo wengine watasema kweli, maana hakuna utajiri mzuri na wa uhakika utakaomuachia mtoto kama elimu...Hapo tumekubali kwa hilo...
Ila ukumbuke mpaka umefika huko ina maana hata wewe ulipata elimu fulani huku, je haikutosha kwa wewe kuajiriwa kwenye fanu yako? Je ulijiendeleza tena uwe sawa na standard zao za elimu?..
Haya , baada ya watoto kukuwa itakuaje? Maana unazeeka, unalinda magodown, factories etc, labda unafanya kazi za Care, mpaka lini? Au umeajiriwa kwenye Food Factories, kuna baridi kufa, kwa kazi za usiku mwili lazima uchoke tu...
Bado mbishi, je utaendelea kuwepo huko na ulipwe Pension kwenye nyumba kama za NHC huku kila wiki au ungependa uwe hapa na kajumba kako, kagari kako, mradi wako, uwape ajira Watz wafaidike na Mtz mwenzao aliyepata ujuzi huko..
Kwa kweli ni uamuzi wa mtu kweli, ila lazima ufike muda useme, tayari future ya watoto iko sorted, ya kwako je?!
Wanaotaka kurudi jipangeni, anza na sehemu ya kufikia, lete usafiri wako, njoo na ujuzi wako uliosomea huko, kama bado somea sasa, njoo na kamtaji, mambo swafi tu..
tema cheche na wewe basi...tuelewe...Uelewa wako wa maisha ya watanzania walioko nje ni sawa na wazungu wanaofikiri Tanzania kuna nyani na wanyama pori mijini.
Aisee...!Set mind ikae kiuwiziwizi tu, hapo uta make.
Bongo wizi ndiyo unafanya watu wasurvive kuanzia viongozi mpaka wafanyabiashara.
Hakuna kitu kiko straight bongo
Swala linalosumbuwa kwa sasa ni "Dual Nationality", kuna jamaa zangu UK walidai Mama Migiro kawaahidi litakuwa sorted..
Honestly TZ haiwezi kukataa kupata ujuzi, uzoefu, maarifa, na HELA toka kwa Diaspora kwa njia ile au nyingine...
JPM wanamuona he is a "Nationality", infact he is not, yeye labda anawataka mpaze sauti msikike ili, ili swala lije Bungeni...
Huku ndiyo bongo bana, mtu ana kaduka chochoro cha spare za toyo lkn yuko vizuri kimaisha usipime, sasa na wewe ukitaka life yake kafungue duka la spare za toyo ufurahie maisha ktk mwanga bora.Aisee...!
Jamaa is so mechanical, outdated na mhafidhina kuelewa juu ya dual citizenship.Aiseee hii kitu Kama ilishindikana kwa JK na akina Membe...kwa JPM naona ni ngumu zaidi. Maana as a matter of reality Tz sioni bunge sasa hivi lenye kuongelea na kupitisha kitu ambacho JPM hana interests nacho. Then again exposure ya mkulu siyo kubwa kihivyo. It might take very long to convince him auone umuhimu WA dual nationality.
Huku ndiyo bongo bana, mtu ana kaduka chochoro cha spare za toyo lkn yuko vizuri kimaisha usipime, sasa na wewe ukitaka life yake kafungue duka la spare za toyo ufurahie maisha ktk mwanga bora.
Huku ni Africa, life haiko straight kama kwa wenzetu
Naam,Somo limefika. Mwanadiaspora kumbuka ulichofuata nje na ukifuatilie. Kuna watanzania niliwakuta Japan. Walikuwa wamelala chini kama fito kwenye kichumba kidogo kama kabati la nguo kwa Marekani. Wanalala kwenye hicho kichumba kusevu kodi asubuhi wanaenda vibaruani kutafuta pesa. Wakitimiza mitaji wananua vya kununua wanarudi Bongo.
Maisha ya hivyo unaweza kuyaishi hata Ulaya na Marekani. Waspanish wale asiowataka Trump wanaishi kwa staili hiyo. Sevu pesa zikitimia rudi Bongo.
Ila kama umeamua kuishi nje fuata wenyeji waliofanikiwa wanavyofanya. Kama ni shule, mikopo,biashara, kazi za ufundi na kadhalika. Kwa mfano kwa Marekani kuna kazi nyingi za hovyo hovyo ukiziona lakini watu wanatengeneza zaidi ya dola laki kwa mwaka. Kuendesha ile milori mirefu ya masafa marefu ni moja wapo.
NA HUWEZI KUJICHANGANYA KAMA HUNA MAKARATASI. HUU NDIO UPUZI MKUBWA WANAOFANYA BAADHI YA WANADIASPORA. KUISHI BILA YA VIBALI. NI SHIIIIDA KWELI.
Bila ya kujitambua utamaliza miaka 20 nje unapanga kurudi nyumbani lakini huwezi kurudi na nje huna chochote cha maana.
Hahahahaha!!Kweli kabisa! Ujanja ujanja tu! Ndiyo maana tuna mtuhumiwa wa rushwa Ikulu, ‘akipambana’ na rushwa.
Nakubali kabisa, kuanzia Mzee JR kusema hahusiki na kuna wezi wa hii issue, EPA ilifanyika sasa sijuwi kama iliwatosheleza wahusika, Meremeta Gold na Kigoda we don't know...Hahahahaha!!
Kibongobongo hiyo, unafiki mwingii.
Rushwa ni adui wa haki,
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kumbe anawazuga tu, wadau wanakwambia wenyewe ukiwa serikalini ukipata chance ya kuiba iba haaswaa, ukitoka hapo kajipange
Naam,
Kazi kwa malengo na ujue unachokitafuta.
Nina rafiki zangu wengi tu walikwenda nje huko USA 25-30yrs ago lkn hakuna hata mmoja aliyejipanga.
Most of them wameshindwa kabisa kurudi na wanaokuja ni kuja na kuondoka lkn kitu walichofanya huku home ni -0 (nothing to the max)