Pole sana, kwa sababu upo nje ya nchi ndio maana hujui staili ya kupata ajira hapa tanzania.wenzako wanaanza na kutukana viongozi wa upinzani na kuwatukuza viongozi wa ccm,View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Mchango upi mkuu?hivyo viwanda bado havijajengwakama mna uchungu rudini mtoe mchango wenu siomnasubiri vyeo vya kuteuliwa
Wewe una msaada gani mkuu? Tuanzie hapo kwanza.Diaspora wa nchi hii hawana msaada wowote.
Mkuu ni vema kama iwapo watu wa aina hiyo wapo ni vema ukawaweka wazi. Sio vizuri watu wakatumia pesa zetu kwa mambo yasiyo na tija!DICOTA 2016 tujadiliane vitu vya kujenga sio kuonyeshana mavazi na mapaja tu. Yaani inaudhi watu wanasafiri toka wizarani TZ kuja kuangalia mashindano ya mavazi USA
kama diaspora wenyewe ni akina lemutuz na mange kimambi usitegemee respect, hiyo alifanya yuleee type yenu sio maguuuView attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Hakuna nchi iliyoendelea itakayompa mhamiaji kazi yenye staha. Wanawaona kama watu mliokimbia kwenu kwa sababu ya shida mbali mbali. Staha na heshima mtaipata katika nchi yenu tu! Kwa hiyo, msifikiri kwamba kwenda kuishi Europe , Australia, America, India au popote kunawapa exceptional competitive advantage, mlichopata ambacho watanzania wengi hawana ni exposure to a different culture. Hiyo peke yake haiwezi kuwafanya mpata upendelo wa kipekee. Kama kuna kiongozi alikuwa anaona kwamba ninyi watu wa diaspora ni wakombozi wa nchi hii alikosea sana. Ninyi ni raia wa kawaida kama walivyo raia wengineView attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.