Tatizo la nchi hii watu wana wivu.Hata kuishi nje kuna watu walitamani wakakosa Sasa wanasumbuliwa na wivu wa kike.Sasa Kama wewe huku fanikiwa kwenda who knows mwanao au hata mjukuu wako akaenda. Diaspora ni wenzetu.Baba zetu,kaka au dada zetu,wajomba au Shangazi hata Jirani basi. Wanao mchango mkubwa Sana katika Jamii wanapotoka .Wengi husomesha ,hutuma Pesa nyumbani ambazo zinamchango mkubwa Sana .Wengine hufanya maendeleo nyumbani Kama kujenga nyumba na kufanya biashara mbali mbali.Ni muhimu wathaminiwe na kupewa kipaumbele kuliko hata hawa waweke zako tunaowalamba miguu.Ni watz na watabaki Kuwa wa Tz .Ndo maana kuna Umuhimu wa kuwepo uraia pacha.Tukubali Kwamba tutalazimika kuunga mkono mambo yenye tija na si lazima hayo mambo yatufaidishe Wenyewe moja Kwa moja Ndo tuyaunge mkono.