Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

diaspora anzisheni AMSHA AMSHa katika sekta mojawapo inayogusa jamii ELIMU, AFYA n.k vinginevyo tutaendelea kuwadharau tu. Na hivi mkuu kama alivofika Rwanda hakuna sijui anaongea na watanzania wanaoishi ughaibuni (nchi husika) mtaisoma namba
 
MBWANA SAMATTA kiasi ametutoa kimaso maso! hao waliozamia miaka na miaka huko EU & US wana nini zaidi ya mitusi?
 
MBWANA SAMATTA kiasi ametutoa kimaso maso! hao waliozamia miaka na miaka huko EU & US wana nini zaidi ya mitusi?
Meck Khalfan
CEO and Co-founder, Puku LLC
Meck Khalfan Head Shot resizedMeck Khalfan is the CEO and Co-founder of Puku LLC, a New York-based company that is revolutionizing the mobile charging industry with high quality and beautifully designed portable chargers. Tanzanian-born Khalfan is a serial entrepreneur and veteran software engineer.

In addition, Mr. Khalfan is a passionate supporter of minority causes. He is an active supporter of Touch Foundation and Sponsorship for Education Opportunity (SEO), two organizations that aim to make a difference in underserved communities. As a member of Touch Foundation, a nonprofit focusing on bringing vital healthcare services to patients with the greatest medical needs, Mr. Khalfan engagement has been related to the organization’s work to make a difference in his home country, Tanzania. As an active supporter of SEO, a nonprofit organization that provides superior education and career programs to young people from underserved communities to maximize their opportunities for college and career success, Mr. Khalfan’s family commits a meaningful contribution annually.

Meck is a graduate of University of Massachusetts – Amherst with BSc in Computer Science and Mathematics.
 
MBWANA SAMATTA kiasi ametutoa kimaso maso! hao waliozamia miaka na miaka huko EU & US wana nini zaidi ya mitusi?
32-year-old Ninon Marapachi manages a $20 billion (Sh32 trillion) Hedge Fund for Merrill Lynch/Bank of America. She’s young, ambitious and brilliant. She’s also Tanzanian. How did she become a Wall Street playmaker? Read on to find out.

Ninon Marapachi, 32: Dar’s own hedge fund wunderkind
 
Lipi la maendeleo lilifanyika na diaspora wa Tanzania zaidi ya ku organize visherehe huko ugaibuni
Mkuu wadiaspora wanao fanya mabadiliko Tanzania:hawajitangazi wala kulilia hapa JF.Kwa Mfano sekta ya umeme wa mianzi ya jua,Kilimo cha kisasa,Teknolojia ya habari,uwekezaji kwenye migodi ya madini Na yako mengi tu. Na ni Wazalendo kweli kweli
Wanao lilia ni malembukeni wachache ambao hawajielewi.

CC waliaji wote
 
diaspora ni mzigo kama mizigo mingine tu. jitu limekaa ughaibuni miaka na miaka lakini halina mchango kwa taifa halafu linaibuka ooh nataka uraia pacha! kwa kipi?
Matatizo yako Mkuu unawahukumu wanadiaspora wote Kwa wachache walio kudharau Au waliokuchukulia kipenzi chako.Wako wengi ambao ni Wazalendo kuliko weye.Na wamefanya mambo mengi hapa Bongo bila kukujulisha weye.
Weye una Roho ya korosho Kwa hao wanadiaspora Basi Utasubiri sana Mkuu.
Na hawa shuki.labda uwe Mtoa riziki.
 
Diaspora wametuangusha sana...pamoja na kupewa fursa nyingi wakati wa Kikwete tumeishia kupata hasara na ufisadi wa kufa
 
dayaspora nyie endeleeni kushiriki MISS TANZANIA USA na kuandaa mashindano ya mpira wa miguu kati ya simba na yanga ughaibuni.
 
Watanzania tunaumwa ugonjwa wa kutopendana, na sijui tiba sahihi ya ugonjwa huu ni ipi hasa. Timu ya Taifa ya Nigeria ikienda popote pale duniani huwa inakutana na wanigeria ambao wamejipanga vizuri sana katika suala la kuisupport super eagles kwa hali na mali.

Wale diaspora wa Nigeria hawanyanyapaliwi wala kuonekana kama vile ni wasaliti kwa taifa lao. Sisi bado tuna ule ushamba wa kumuona mwenzetu aliyepo Marekani au Japan kama vile ana pesa nyingi sana, kama vile ni mtu wa ajabu sana.

Tunakuwa so inferior tunapoanza kuongelea masuala ya wenzetu waliopo nje ya Tanzania. Primitive mindset. Mtu anashindwa kabisa kuelewa kwamba yeye anaishi Tanzania kwa sasa, kesho au keshokutwa anaweza kuwa ni sehemu ya diaspora. Akawakilisha mawazo na nia za watanzania wenzake alionao huko nje. Tunapenda kujifanya wastaarabu lakini katika hili suala la kuwatazama vibaya wenzetu wanaoishi nje ya nchi, bado tunaonyesha dhahiri ushamba tulionao.
 
Watanzania tunaumwa ugonjwa wa kutopendana, na sijui tiba sahihi ya ugonjwa huu ni ipi hasa. Timu ya Taifa ya Nigeria ikienda popote pale duniani huwa inakutana na wanigeria ambao wamejipanga vizuri sana katika suala la kuisupport super eagles kwa hali na mali

Wale diaspora wa Nigeria hawanyanyapaliwi wala kuonekana kama vile ni wasaliti kwa taifa lao. Sisi bado tuna ule ushamba wa kumuona mwenzetu aliyepo Marekani au Japan kama vile ana pesa nyingi sana, kama vile ni mtu wa ajabu sana.

Tunakuwa so inferior tunapoanza kuongelea masuala ya wenzetu waliopo nje ya Tanzania. Primitive mindset. Mtu anashindwa kabisa kuelewa kwamba yeye anaishi Tanzania kwa sasa, kesho au keshokutwa anaweza kuwa ni sehemu ya diaspora. Akawakilisha mawazo na nia za watanzania wenzake alionao huko nje. Tunapenda kujifanya wastaarabu lakini katika hili suala la kuwatazama vibaya wenzetu wanaoishi nje ya nchi, bado tunaonyesha dhahiri ushamba tulionao.

Pamoja mkuu...
Wengi ni chuki binafsi na kiroho cha kwanini tu..
Ndizo zinawasumbua.
 
Heading haifanani na content. Rudi nyumbani kama kweli una hamu ya kutoa mchango wako. Maafisa wa ubalozi walioko DC na NY wanatosha.
 
32-year-old Ninon Marapachi manages a $20 billion (Sh32 trillion) Hedge Fund for Merrill Lynch/Bank of America. She’s young, ambitious and brilliant. She’s also Tanzanian. How did she become a Wall Street playmaker? Read on to find out.

Mr Sherrif from Arizona
Hawa watu hawawezi kukuelewa na habari kama hizo. Wao wamezoea zao za tv(ziara za kushtukiza na kutumbuliwa majipu vipele).
Hapo ndipo wanaona mtu anafanya kazi ya maana.
Habari kama hizo kwenye link wengine hata hio lugha hawaielewi.
Mtu ukiwa nje ya nchi kwao kiroho kinawauma tu
hawana lolote.
Kenya dont have as near natural resources that we have but its economy is ahead of us.
One of the factors helping to boost kenya's economy is the flow of Remitance money.

Ninon Marapachi, 32: Dar’s own hedge fund wunderkind
 
Diaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Akili nyembamba siyo ndogo...kwani uliwahi kusikia wapi nchi ikakosa watu wanaoishi ughaibuni? ni picha zipi tunazozirusha? elimu tunayo nzuri sana, ila serikali yetu haipendi kufanya kazi na wataalamu bali wababaishaji tu, na wakurupukaji. siwezi kuacha kazi yangu nije kufanya kazi na watu wasioheshimu taaluma za watu, wakidhani kila kitu ni siasa. hatuwezi kufanikiwa kwa mtindo huo wakufikiri siasa zinasaidia kumdunga mgonjwa sindano,we are going astray
 
Heading haifanani na content. Rudi nyumbani kama kweli una hamu ya kutoa mchango wako. Maafisa wa ubalozi walioko DC na NY wanatosha.
Kwani uliambiwa kwamba ukitaka kutoa mchango kwenye nchi yako lazima urudi nyumbani?
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Bora mbaki hukohuko, ulipwe 47 kwa saa wakati delivery hailingani, mnaweza slang tu.
Tido na Muhongo at least wamewawakilsha vema, wengi vimeo kabisa. Bora mbaki hukohuko, japokuwa mnashindwa hata kuwekeza miradi ya maana
 
Back
Top Bottom