Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Kweli watu wa Diaspora uzalendo mdogo saa nyingine. Wenzetu wa India na Ethiopia wanauzalendo wa hali ya juu sana.Magufuli si yule mliyezoea mnabembea naye kisha mnamwandalia sherehe feki za kutunukiwa vyeti vya mtawala bora.
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Rudi nyumbani ILI utie akili
Kaa hukohuko muoshe chupi sisi tunajenga Tanzania, mlizoea JK alivokuwa anakuja kula bata sio.mkuu punguza jazba tujenge Tanzania mpya yenye kujali utu wa mTanzania. Iyo kuosha vyombo unayodharau wanaume wenye masters maphd wanakuvukia Mediterranean kwa mitumbwi wengine wanapoteza maisha walau wafike waoshe vyombo
Lipi la maendeleo lilifanyika na diaspora wa Tanzania zaidi ya ku organize visherehe huko ugaibuniWabongo walioko nje wamegawanyika kwenye makundi.Kuna kundi la wabongo wanafunzi,wafanyakazi wa ofisi za kibalozi,walopata uraia kwenye nchi wanazoishi,maninja(hawana sheria za kuishi kwenye nchi waliopo)nk.Makundi mawili makubwa ni kundi la wazanzibar na wabara.Diaspora ziliundwa ili kuwaunganisha wabongo hawa ingawa baadhi ya diaspora bado zinafanya kazi chini ya mwevuli wa kibalozi yaani utakuta mwenyekiti wa diaspora ni informer wa ubalozi na hata mikakati yeyote ya kimaendeleo zaidi ya kuorganize party.Muamko wa diaspora ulianza wakati wa awamu ya JK.Wakati wa awamu ya JK ndio wabongo walioko nje walianza kuwa kifua mbele kuringia nchi yao,hiki ndio kipindi umuhimu wa diaspora ulianza kuonekana.Hapa kenya,serikali ya kenya huingiza mamilioni ya dola za kimarekani kwa kupitia diaspora,sisi tumeanza vizuri wakati wa JK lakini Mr JPM asipoona umuhimu wa diaspora basi diaspora zitarudi enzi za nyuma kuwa vilabu vya pombe na ufuska.
Kenya,Nigeria,Ghana,Uganda nk huandaa mikakati thabiti kwa ajili ya diaspora mfano huwaandalia watu wao mazingira mazuri ya kuwekeza kwenye nchi zao.
Ni kweli kabisa Raisi asipoona umuhimu wa diaspora na waziri wa mambo ya nje nae pia asipokuwa na interest ya kuendeleza diaspora kimaendeleo basi kwa mara nyingine tena tutashuhudia diaspora zetu kuwa vilabu vya ulevi na umalaya.
Nakubaliana na Mr Pombe kubana matumizi kwa kupunguza safari lakini teleconference na diaspora moja kwa muda wa saa moja haitogharimu dola za kimarekani ishirini
mbona tuko radhi hata kutawadha mee-koo-ndoo. Great thinker ebu nikufungue akili kidogo. Angalia economic migrants wanavyorisk maisha yao kuvuka Sahara Mediterranean name aegean sea ugirik kufika ulaya. Hili jambo linakuonyesha jinsi walivyo desperate na ufukara uliokithiri kwaoKaa hukohuko muoshe chupi sisi tunajenga Tanzania, mlizoea JK alivokuwa anakuja kula bata sio.
Imekula kwenu
ndio mkuu. Denmark na Norway they pay high wages. Ila mkuu it's very expensive to live in CPH. House rent ni kubwa sana. Kodi unayokatwa ni balaa. Mimi nalimwa 36% tuseme nalipa Kodi kama 3m TZS but it's worth it the more hours u work and earn the more they heavily tax you. Sasa hivi landlords wengi wanataka six months deposit ukitaka kurent nyumba many have to seek loan just to pay the deposit. Nikuish kiujanja tu ila kiuhalali kwasababu hapa hamna sanaa.Kwa hiyo unalipwa kama dola $21 kwa saa? Poa basi mambo yako siyo mabaya.
Nimekupata najua sana unachoeleza maana na mimi naishi Marekani mambo ya rent kwa kweli ni ghari sana. Kwa hapa USA inategemea pia miji gani unaishi kama unaishi miji mikubwa kama New York City, Los Angeles, Chicago, San Francisco na kwingineko itakuwa kasheshe lakini kwa majimbo kama ya Nebraska, Iowa, Kansas basically Midwest cities are cheaper.ndio mkuu. Denmark na Norway they pay high wages. Ila mkuu it's very expensive to live in CPH. House rent ni kubwa sana. Kodi unayokatwa ni balaa. Mimi nalimwa 36% tuseme nalipa Kodi kama 3m TZS but it's worth it the more hours u work and earn the more they heavily tax you. Sasa hivi landlords wengi wanataka six months deposit ukitaka kurent nyumba many have to seek loan just to pay the deposit. Nikuish kiujanja tu ila kiuhalali kwasababu hapa hamna sanaa.
Ila Mimi mjanja na mgumu siyo hapa toka nikiwa bongo najua kuish kigumu na kubana matumiz. I really believe in working hard and savings. Tunashare apartment na masela wanne tena ni student apartment yani hapo nimesAve
Benny Raimundo
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
tutakomaa tuu hapa sirudi kula vumbi hukoZamani watumwa walikuwa wanakamatwa kwa nguvu, saa hivi mnaenda wenyewe. We baki huko huko, sisi huku tunajenga nchi. Wenzio wenye aelimu ya kweli wanarudi kushiriki nasi, nyie wa degree moja miaka tisa, endeleeni kuzunguka tu huko. Au unataka uzeeke kama lemutuz ndo urudi?