tutakomaa tuu hapa sirudi kula vumbi huko
Ha ha ha, Mkuu pole sana. Uzee utakurudisha tu, na hapo ndipo utakapojua kula vumbi maana yake nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutakomaa tuu hapa sirudi kula vumbi huko
Hamna mchango wowote. Ninyi endeleeni kufanya kazi za usafi huko kwa wazungu. Sisi kwa sasa tunachapa kazi. Hatuna muda wa story na kuangalia picha za maghorofa mnazotuma.So stupid, mlidhan ndo kama utawala ule dhaifu?utawala wa facebook na instagram? Mnataka mkumbukwe kwa lipi sasa?watu hawana muda wa show off kwa sasa.watu wanapiga kazi tu
ni kweli ovyo ila kwa wanaojielewa na wamekuja kutafuta maisha kiukweli siyo ovyo
mkuu niko makini sana na mambo ya bills. Nilikuja hapa 2009 system sokuijua vizuri nikachukua instant loans hawA washenz riba yao mara 2. Niljituma nikaimLiza Chin ya miez 10. Yani sitaki kusikia tena mambo ya online instant loans. Mimi niko very discipline in financial matters. Napata hela nreasonable kwasabab nafanyA masaa mengi. Naish kwenye student share apartment tuko wanne rent nimesevu hapo. Benki wameniomba nichukue mortgage nimesita. Nimeombwa nichukue mkopo nimesita. Ninahela hata kuliko wadeni wengi. Kwasababbu nasevuUtayapata maisha huko? angalia mkuu, utaishia kuunga bili mwezi kwa mwezi mpaka utazeeka. Tumeshaona mifano ya namna hiyo mingi sana. Ushauri tu.
mkuu niko makini sana na mambo ya bills. Nilikuja hapa 2009 system sokuijua vizuri nikachukua instant loans hawA washenz riba yao mara 2. Niljituma nikaimLiza Chin ya miez 10. Yani sitaki kusikia tena mambo ya online instant loans. Mimi niko very discipline in financial matters. Napata hela nreasonable kwasabab nafanyA masaa mengi. Naish kwenye student share apartment tuko wanne rent nimesevu hapo. Benki wameniomba nichukue mortgage nimesita. Nimeombwa nichukue mkopo nimesita. Ninahela hata kuliko wadeni wengi. Kwasababbu nasevu
DICOTA ni poa ila baada Ya convention sioni anything sustainableDiaspora DICOTA 2016 mtoke na azimio la maana. Sio kupiga picha na kutuma Instagram!
Kweli nikuparty tu hamna jipya. Waseme maendeleo gani wamisha yaleta mpaka MAGU awajali watu DISPORA.Diaspora DICOTA 2016 mtoke na azimio la maana. Sio kupiga picha na kutuma Instagram!
Kweli tupu hamna jipya hapo. Yale Yale na MAGU hana muda wa mchezo.DICOTA ni poa ila baada Ya convention sioni anything sustainable
Kila kitu kinakufa hadi the next convention.
Imekuwa ni kama zile parties za Columbus au DC miaka ileeee
Mtakutana pale Dallas.speeches zitatotolewa. Waliokula per diems zao toka bongo watafanya shopping baada Ya convention kuisha basi hakuna jipyaKweli tupu hamna jipya hapo. Yale Yale na MAGU hana muda wa mchezo.
Mkuu hata mimi nimewahi kusikia hicho kitengo lakini sijui ofisi zao na kitu gani wanafanyaNataarifiwa hapa kuwa kuna kitengo cha DIASPORA (ama ofisi ya waziri mkuu au mambo ya nje) je kina kazi gani? na lipi limefanyika mpaka sasa?
HahahahahaHii vita kati ya Diaspora na walavumbi haitakuja kuisha, ni kama wa-Palestina na wa-Israel!.