Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

bora nilime bongo kuliko kufua mading'a aka makimba ya mzungu!
 
Njooni Dodoma huku kuna ardhi toshelevu kuwekeza kwenye kilimo
safi chakii hawajui kuwa Dodoma bado ardhi ipo wananang'ang'ania huko kwa sifa ya udayazipura wanaishia kuwa"maboimanda mshahara tonge"
 
MENGINE YALIENDA VIJANA YAMERUDI MAZEE YANAWATEGEMEA WAZAZI WAO AMBAO NI VIKONGWE
cc:Mnyausi mwiyangu
 
ughaibuni t
Yaaaani ufupi kabisa ni sawa na kuja Dar hapa afu ategemee mission town.

Ataishia kula mihogo mchemsho na kutambea kwa ngondi'miguu'

Dar njoo chukua bidhaa potea rudi uyui mama gairo kauze kwa faida. Ukiiishi Dar uwe na Kazi rasmi otherwise utadhalilika tu.

Huu mfano unawafiti sana hapo, huko sio saiz yao. Watacompete nini na wazawa wa huko? Wanawachungulia tu, kuishia kujibanza kwa either kuolewa au kuoa vibibi kuvizia uraia wa kitapeli

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
ughaibuni tunafaidi sana hela, sasa tunataka kuja kuwekeza nyumbani ila urasimu kibao.
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

UPDATE:
Tumeanza kumtanguliza Miss Tanzania USA aje aangalie fursa ya sisi kuja kuwekeza nyumbani. Mpeni Ushirikiano.

Tatizo lenu wengi wenu hamjitambui
Nyie endeleeni tu kubeba box huko
 
ughaibuni t

ughaibuni tunafaidi sana hela, sasa tunataka kuja kuwekeza nyumbani ila urasimu kibao.
Pitia remittances policy ya huko iko vipi.
Isije kuwa umejikoki

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
These diaspora first of all they have to work hard and prove of their quality and we will see their work and they can be chosen.
We have kilimanjaro,serengeti,ngorongoro crater,oldupai gorge,isimila ,so many attractions why these diaspora they cant set a bench there in abroad and guides tourists so that we can get more clients like kenyans the way they are doing.
People with masters but they dont think and visualize am doubts these nows days degrees and masters
This is the good idea kwa kweli kama hata wangekuwa wanapromote utalii wa nchi yetu hivi wameshindwa hata kutafuta ofisi yoyote ile waweke Information about our countries and they can guide and provide information it will be very easy but also for them is another way of earning income...tatizo wataonekana omba omba tatizo status wataonekanaje but kama **** mtu akatokea akaamua its a good way of getting clients
 
View attachment 566354

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
Samahani sana mzee. Hii kitu inastahili kupata bandiko mahsusi ili kuitahahisha jamii uwepo wake.
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

UPDATE:
Tumeanza kumtanguliza Miss Tanzania USA aje aangalie fursa ya sisi kuja kuwekeza nyumbani. Mpeni Ushirikiano.
WANADHARAU KWASABABU HAMJIELEWI MNATUMIKA VIBAYA DIASPORA GANI WAKUTUKANA SERIKALI MKIWA HUKO NG'AMBO?
 
Mnasikitisha Diaspora asee. Kuna jamaa alishawahi kufanya kazi Klauz anakaa uswizi katoboa masikio hiv nilikutana nae kwenye ndege from Paris-Nairobi aliposikia naongea kiswahili kaanza kujisemesha nikaona huu msala huenda ana ngada. Nikamkwepa. Ni pumba tupu huko diaspora
 
Serikali ya Tanzania imewasusa na kuwasahau DAYASPORA wake.Wengi ukiongea nao wanasema serikali itaki kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanya makubwa Tanzania.

Mimi binafsi naishi kwenye jiji moja hapa Marekani,ambalo lina watanzania si haba,lakini wengi wameukana uraia wa Tanzania na kuchukua wa Marekani.Kinachowavuruga na kuwanyong'onesha ni kwamba hawana tena link once wanapokuwa naturalized hapa.Na hii kutokana na kauli tatanishi za viongozi na sheria za Tanzania juu ya uhamiaji.

Serikali ingelainisha masuala ya DAYASPORA.Kwa mfano kama mtu ameukana uraia wa Tanzania kutokana na sababu zozote zile za kibinafsi basi apewe Permanent Resident Status ya kufanya shughuli zake za kiuchumi na kuishi Tanzania,kama Dual-Citizenship limeshindikana ama haliwezekani.

Kuna pool ya experts na wajuvi wa mambo huko ughaibuni.Tunaweza kuwatumia hawa kama nchi na kunufaika nao kuliko sasa ambapo wamebaki wakiwa na hali ya uyatima.

Kwa nini nchi yetu isiige DAYASPORA ya Ghana,Senegal,Nigeria,Kenya na etc ambazo zimefanya makubwa kufikia ata kumiliki Media na Makampuni mengi ughaibuni na kutoa mchango kwa nchi zao.
 
Back
Top Bottom