Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Hizo picha wanazoturingishia zipo wapi nami nizione?Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana sana wanaturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri
Unateseka kwa namna yoyote Ile?Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana sana wanaturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri
Kwani uliagana nao?Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana sana wanaturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri
Mwongeze kimombo ingine Nyani aendelee kupagawaOk, but how is that any of your concern?
You don’t got your own life and wish to live vicariously through others or what?
Anataka mumtumiage muamala labdaOk, but how is that any of your concern?
You don’t got your own life and wish to live vicariously through others or what?
Nimemuuliza kwani waliagana naye? Hajajibu.Jiandae kupopolewa mkuu. Watakwambia mind your own business
100% correctNinemuuliza kwani waliagana naye? Hajajibu.
Watanzania wengi wanapenda sana kuishi kwa kufuatilia maisha ya watu, wakati yao wenyewe yamewashinda.
Mimi nilikuwa mgumu sana kuwasikiliza watu waliokuwa wanasema kwamba kuna Watanzania wengi sana wanachukia diaspora kwa kusukumwa na wivu.Mtu ajilipie nauli anavyojua yeye, atafute viza kwa nguvu zake mwenyewe, apige picha kwa kamera yake mwenyewe, aposti kwa bundle lake mwenyewe, halafu wewe uliyoko Nanjilinji uteseke????
Hudhani kama una dosari kidogo mkuu???
Yani ukasirikie mtu ambae huna mchango wowote kwenye maisha yake???
Ndugu upo hatua chache sana kuwa mchawi kamili. Tafuta maombi kabla hujaanza kupaa na ungo.