Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Ok, but how is that any of your concern?

You don’t got your own life and wish to live vicariously through others or what?
Hii sio IPA English Mzee ngabu kama vipi vipi rudi nyumbani uje kufuga chawa wenzako!!

You don't got????!! What?????? Anyway amefikisha ujumbe tu diaspora acheni kumparua mleta mada!
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa diaspora wengi wa Tanzania hasa wanaoishi Marekani hawana lolote kwa sababu mambo ni magumu sana huko..

Diaspora wanao fanya vitu vya maana Tz wengi wao ni wale waliopo kwenye chi kama Qatar Bahrain etc but USA hell no bora hata waliopo Mozambique
 
Nimemuuliza kwani waliagana naye? Hajajibu.

Watanzania wengi wanapenda sana kuishi kwa kufuatilia maisha ya watu, wakati yao wenyewe yamewashinda.
Hii ni forum mambo ya kuagana yanatoka wapi
Ulishawahi jiuliza kwanini tunatumia majina bandia jamiiforum
Kama ndo akili za watanzania mnaoishi abroad kazi ipo
 
Tafuta maisha yako kijana.
Mwisho wa usiku ukweli usemwa watanzania wengi ni vijicho vya husda na unafki mwingi sana.
Kipindi mtu anazunguka posta kuweka documents sawa aende ubalozi unafki kibao, akishatoka sasa kila mtu anataka attention yake.
Mwisho wa siku kila mtu na familia yake.
Hii ni forum ungejua maana ya forum usingeongea huu ujinga
Nani akufuatilie maisha yako mtu unayetumia jina bandia
 
Mtu ajilipie nauli anavyojua yeye, atafute viza kwa nguvu zake mwenyewe, apige picha kwa kamera yake mwenyewe, aposti kwa bundle lake mwenyewe, halafu wewe uliyoko Nanjilinji uteseke????
Hudhani kama una dosari kidogo mkuu???

Yani ukasirikie mtu ambae huna mchango wowote kwenye maisha yake???

Ndugu upo hatua chache sana kuwa mchawi kamili. Tafuta maombi kabla hujaanza kupaa na ungo.
Hii ni forum ungejua maana ya forum usingeongea huu ujinga
Nani akufuatilie maisha yako mtu unayetumia jina bandia

Nikikumbeshe huna maisha yako ndo maana ukizaliwa wakati hujitambui kuna watu wanakuudumua na hata ukifa unazikwa na watu hata usiowajua
 
Na wewe ni mjinga, kwa sababu unajipa umuhimu katika maisha ya watu baki ambao hata hawakujui.

Wewe ni kati ya wale Watanzania wengi mnaotoa ushauri bila kuonbwa, kwa watu msiowajua, kuhusu mambo msiyoyaelewa.

Mtu kajiendea ughaibuni kivyake, anaishi kivyake, wewe umbea wa nini?
Huna cha maana ulichofanya umekasirika kwa sababu nimeongea ukweli
 
Tafuta maisha yako kijana.
Mwisho wa usiku ukweli usemwa watanzania wengi ni vijicho vya husda na unafki mwingi sana.
Kipindi mtu anazunguka posta kuweka documents sawa aende ubalozi unafki kibao, akishatoka sasa kila mtu anataka attention yake.
Mwisho wa siku kila mtu na familia yake.
Hawa watu wanasumbuliwa na wivu tu, pengine bila hata wao kujua. Kwa sababu wana akili ndogo.

Wangependa sana watu wote tubaki hapo kwa bimkubwa tunahesabu mbao za dari na kupigana mizinga.

Mawazo ya kichawichawi tu.
 
Sema ndugu zako wa diaspora hawana wanachofanya zaidi ya kukuringishia hela.
Wenzako sisi ndugu ,etu wako supa nje na hata nyumbani wanafanya jambo. Na wanatupa connection kufanya michongo huko.
Wengine go and return hizi za mara kwa mara. Kwasbabu za hawa jamaa wa diaspora. Hao ndugu zako wanakuzingua. Changamka
 
Huna cha maana ulichofanya umekasirika kwa sababu nimeongea ukweli
Kwani wapi nilikuambia nina cha maana nilichofanya? Cha maana kwa nani? Nani anapanga hiki cha maana na hiki si cha maana katika maisha yangu mwenyewe?

Usifikiri kila mtu anaishi kwa kukariri wewe mburula guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo.

Watu tushapita hayo maisha ya "status anxiety" unayoyaongelea wewe.

Unaelewa "status anxiety" ni nini?
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Mara nyingi kikubwa wanachowwza ni kuwa Machawa wa Wapinzani 😁😁
 
Sema ndugu zako wa diaspora hawana wanachofanya zaidi ya kukuringishia hela.
Wenzako sisi ndugu ,etu wako supa nje na hata nyumbani wanafanya jambo. Na wanatupa connection kufanya michongo huko.
Wengine go and return hizi za mara kwa mara. Kwasbabu za hawa jamaa wa diaspora. Hao ndugu zako wanakuzingua. Changamka
Huyo jamaa anasumbuliwa na chuki, wivu na hasira tu.

Hana hoja.
 
Kwani wapi nilikuambia nina cha maana nilichofanya? Cha maana kwa nani? Nani anapanga hiki cha maana na hiki si cha maana katika maisha yangu mwenyewe?

Usifikiri kila mtu anaishi kwa kukariri wewe mburula guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo.

Watu tushapita hayo maisha ya "status anxiety" unayoyaongelea wewe.

Unaelewa "status anxiety" ni nini?
Kama huna cha maana tulia kama unachomwa sindano
 
Back
Top Bottom