Hii sio IPA English Mzee ngabu kama vipi vipi rudi nyumbani uje kufuga chawa wenzako!!Ok, but how is that any of your concern?
You don’t got your own life and wish to live vicariously through others or what?
Duh.Maghayo atakuja kuvimba hapa na minimum wage yake.
We umefanya nini cha maana tokea uende marekaniKwani uliagana nao?
Hii ni forum mambo ya kuagana yanatoka wapiNimemuuliza kwani waliagana naye? Hajajibu.
Watanzania wengi wanapenda sana kuishi kwa kufuatilia maisha ya watu, wakati yao wenyewe yamewashinda.
Kwani lini nilisema nina tofauti na mtu wa Tandale?We umefanya nini cha maana tokea uende marekani
Unatofauti gani na mtu wa tandale
Unatupangia maisha?Hii ni forum mambo ya kuagana yanatoka wapi
Ulishawahi jiuliza kwanini tunatumia majina bandia jamiiforum
Kama ndo akili za watanzania mnaoishi abroad kazi ipo
Nakukumbusha tena hii ni forumUnatupangia maisha?
Hii ni forum ungejua maana ya forum usingeongea huu ujingaTafuta maisha yako kijana.
Mwisho wa usiku ukweli usemwa watanzania wengi ni vijicho vya husda na unafki mwingi sana.
Kipindi mtu anazunguka posta kuweka documents sawa aende ubalozi unafki kibao, akishatoka sasa kila mtu anataka attention yake.
Mwisho wa siku kila mtu na familia yake.
Na wewe ni mjinga, kwa sababu unajipa umuhimu katika maisha ya watu baki ambao hata hawakujui.Nakukumbusha tena hii ni forum
Hii ni forum ungejua maana ya forum usingeongea huu ujingaMtu ajilipie nauli anavyojua yeye, atafute viza kwa nguvu zake mwenyewe, apige picha kwa kamera yake mwenyewe, aposti kwa bundle lake mwenyewe, halafu wewe uliyoko Nanjilinji uteseke????
Hudhani kama una dosari kidogo mkuu???
Yani ukasirikie mtu ambae huna mchango wowote kwenye maisha yake???
Ndugu upo hatua chache sana kuwa mchawi kamili. Tafuta maombi kabla hujaanza kupaa na ungo.
Huna cha maana ulichofanya umekasirika kwa sababu nimeongea ukweliNa wewe ni mjinga, kwa sababu unajipa umuhimu katika maisha ya watu baki ambao hata hawakujui.
Wewe ni kati ya wale Watanzania wengi mnaotoa ushauri bila kuonbwa, kwa watu msiowajua, kuhusu mambo msiyoyaelewa.
Mtu kajiendea ughaibuni kivyake, anaishi kivyake, wewe umbea wa nini?
Hawa watu wanasumbuliwa na wivu tu, pengine bila hata wao kujua. Kwa sababu wana akili ndogo.Tafuta maisha yako kijana.
Mwisho wa usiku ukweli usemwa watanzania wengi ni vijicho vya husda na unafki mwingi sana.
Kipindi mtu anazunguka posta kuweka documents sawa aende ubalozi unafki kibao, akishatoka sasa kila mtu anataka attention yake.
Mwisho wa siku kila mtu na familia yake.
Kwani wapi nilikuambia nina cha maana nilichofanya? Cha maana kwa nani? Nani anapanga hiki cha maana na hiki si cha maana katika maisha yangu mwenyewe?Huna cha maana ulichofanya umekasirika kwa sababu nimeongea ukweli
Mara nyingi kikubwa wanachowwza ni kuwa Machawa wa Wapinzani 😁😁Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Huyo jamaa anasumbuliwa na chuki, wivu na hasira tu.Sema ndugu zako wa diaspora hawana wanachofanya zaidi ya kukuringishia hela.
Wenzako sisi ndugu ,etu wako supa nje na hata nyumbani wanafanya jambo. Na wanatupa connection kufanya michongo huko.
Wengine go and return hizi za mara kwa mara. Kwasbabu za hawa jamaa wa diaspora. Hao ndugu zako wanakuzingua. Changamka
Kama huna cha maana tulia kama unachomwa sindanoKwani wapi nilikuambia nina cha maana nilichofanya? Cha maana kwa nani? Nani anapanga hiki cha maana na hiki si cha maana katika maisha yangu mwenyewe?
Usifikiri kila mtu anaishi kwa kukariri wewe mburula guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo.
Watu tushapita hayo maisha ya "status anxiety" unayoyaongelea wewe.
Unaelewa "status anxiety" ni nini?