Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.

Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block 🤣🤣🤣🤣
Wewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?

Zaidi ya chuki, mihemko,hasira, maneno ya shombo na Stress zako unazo kuja kuzimalizia huku JF.

Ungekuwa umefanikiwa uzingeleta chuki zako hapa JF.

Umaskini na Ukapuku unakusumbua hadi unapata wivu.

Kaa bongo ukamuliwe Tozo.
 
Wewe umeonyesha ulichofanya?

Kwa nini unadhani Diaspora tu wanapaswa kuonyesha walichofanya?

Je wewe una chochote cha kuonyesha ulichofanya?
Mimi sina-nilichofanya wala siwezi ficha huo ndo ukweli na sina cha kuonyesha
Sasa nyie mliokimbiliwa huko abroad kwa kisingizio kuna opportunity miaka inaenda mnakua hamna tofauti na aliyebaki hapa Tanzania
 
Mimi kaniblock nikamwambia hii ni forum na kosa langu ni lipi kuna kipindi alikua anamdiss mtu nikamuambia nionyeshe ulichofanya cha maana akaniblock ila akaja kuniondelea block ila jana kaniblock tena baada ya kumwambia yeye mtu wa kawaida hii ni ishara ya kusumbuliwa na stress

Mimi mtu akiniambia ni wakawaida sijafanya kitu au kapuku, maskini siwezi mkasirikia sababu nauhakika hanijui ni kama anarusha jiwe gizani nakama nikikasirika alichoongea kina ukweli

Kuna point umeongea ya maana sana hakuna mtu aliyefanikiwa anahangaika kama kuna Mungu au la
Kumbe vita yako na jamaa ni kuhusu Mungu .
 
Wewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?

Zaidi ya chuki, mihemko,hasira, maneno ya shombo na Stress zako unazo kuja kuzimalizia huku JF.

Ungekuwa umefanikiwa uzingeleta chuki zako hapa JF.

Umaskini na Ukapuku unakusumbua hadi unapata wivu.

Kaa bongo ukamuliwe Tozo.
Achievement kubwa niliyoona kwako ni kupinga uwepo wa Mungu
 
Mimi sina-nilichofanya wala siwezi ficha huo ndo ukweli na sina cha kuonyesha
Sasa nyie mliokimbiliwa huko abroad kwa kisingizio kuna opportunity miaka inaenda mnakua hamna tofauti na aliyebaki hapa Tanzania
Duh unahasira sana mkuu , sasa utaonea wap mafanikio ya watu humu, au unataka watu wafanye mbwembwe na majigambo humu yakuonyesha mafanikio?

Yani bado sijaelewa lengo lako [emoji848][emoji848].
 
Wewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?

Zaidi ya chuki, mihemko,hasira, maneno ya shombo na Stress zako unazo kuja kuzimalizia huku JF.

Ungekuwa umefanikiwa uzingeleta chuki zako hapa JF.

Umaskini na Ukapuku unakusumbua hadi unapata wivu.

Kaa bongo ukamuliwe Tozo.
Wacha makasiriko we muoheshaji na mchambishaji wamama wa kizungu huko nje. Jibu nini cha maana ulichofanya huko nje. Usiwatishe wenzako
 
[emoji16][emoji16] wa njee mnapigwa vita sana na hawa chawa wa ccm ,hizo pini mnazowapiga kutokea huko C.H ndio zinaleta haya[emoji1787]
Kiangazi na njaa za januari zinasumbua.

Watu hawana pesa Stress zao wanakuja kuzimaliza JF.

Na ukiwa majuu wabongo wanataka uwatumie hela za kusomesha watoto wao.

Sasa wasipo tumiwa Stress zao wanaleta JF...😄😄
 
Wacha makasiriko we muoheshaji na mchambishaji wamama wa kizungu huko nje. Jibu nini cha maana ulichofanya huko nje. Usiwatishe wenzako
We maskini Umbwa takataka Kafie mbele qmmmk.

Mama yako bora angetoa kizazi kuliko kuzaa mbwa kapuku takataka kama wewe.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k

Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Sasa tupicha picha twenyewe tuko wapi🤔
 
Back
Top Bottom