Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Unamzungumzia mtu ambae anatoka kwenye familia ya kutajiri🤣🤣🤣 halafu sio mmatumbi🤣🤣🤣 mtanzania wa mchongo. We jamaa itakuwa dishi limeyumba kwa sababu ya stress za maisha magumu ughaibuni
We baki na familia yako ya kimaskini na Ukapuku wa wazazi wako walio zaa fala kama wewe.

Isitoshe hata Dar es salaam Hujawahi kufika, unaishi huko Madongo kuinama kwenye barabara za vumbi
 
Hunijui halafu unasema maisha yamenipiga.
Kwa sababu hukwenda shule ndio maana unafikiri ni vigumu kujua life status ya mtu kwa kutazama mwandiko wake. Una maisha magumu mkuu jikubali.
Unafanya speculations uchwara tu.

Baba yako bora angemwaga manii zake chooni kuliko kuzaa maskini mbwa takataka kama wewe.
🤣🤣🤣🤣🤣 wenye hela wanaongeaga kama hivi?
 
We baki na familia yako ya kimaskini na Ukapuku wa wazazi wako walio zaa fala kama wewe.
🤣🤣🤣🤣 wewe jamaa una stress aisee
Isitoshe hata Dar es salaam Hujawahi kufika, unaishi huko Madongo kuinama kwenye barabara za vumbi
Akili za diaspora mnazijuaga wenyewe 🙌🙌🙌🙌
 
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.

Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block 🤣🤣🤣🤣
Mkuu with due respect wewe Kiranga umekwishawahi kumeet nae in person?

Kuna uhusiano gani kati ya kufanikiwa na kuamini Mungu?

Je hakuna waliofanikiwa wasioamini Mungu yupo hata kwa sekunde na hawataki kumsikia kabisa?

Tafsiri yako au tafsiri ya kupigika kimaisha ni ipi?
 
Wewe ni me au ke?

Kwa sababu hukwenda shule ndio maana unafikiri ni vigumu kujua life status ya mtu kwa kutazama mwandiko wake. Una maisha magumu mkuu jikubali.

🤣🤣🤣🤣🤣 wenye hela wanaongeaga kama hivi?
We ungekuwa na hela ungepata muda wa kuja kuongelea maisha ya Diaspora usio wajua?

Ukapuku na ufukara wako unakupa wivu na chuki zisizo na msingi.

Nakwambia hivi, baba yako bora angemwaga manii zake chooni kuliko kuzaa maskini mbwa takataka kama wewe.
 
😂😃 kwanza Diaspora mwenye maisha huwez kumkuta humu JF anatokwa mapovu...
Humu JF wapuuzi washamba ni hawa Diaspora masikin wasio na maisha wazururaji ombaomba wala makombo ya wazungu, wauza K na Washika ukuta, ndio wanachukia wakiambiwa ukweli ni hawa wabeba mabox, wafagia barababara, waosha vyombo, wazibua mavi, house boys and girls wa wazungu...
Unajiita Diaspora 😃 wakat wazaz wako hata wakiumwa malaria huna uwezo wa kuwatumia hela? Diaspora huna hata kiwanja kule Mbagala chalambe chamazi 😂 Diaspora huwez hata kuja likizo ya Christmas au Eid kwasabab huna nauli ya ndege 😂 Diaspora unashindia mikate ya msaada na juice 😂 Diaspora unaogopa kuumwa kwasabab unajua ukiumwa utaishia kufia ndani huna hela huna bima 😂 Diaspora unaish getto na machokoraa wa ulaya 😂 Diaspora unaish nyumba za msaada wakimbiz na masikini 😂
Diaspora mavi matupu 😃😂
 
Unamzungumzia mtu ambae anatoka kwenye familia ya kitajiri🤣🤣🤣 halafu sio mmatumbi🤣🤣🤣 mtanzania wa mchongo. We jamaa itakuwa dishi limeyumba kwa sababu ya stress za maisha magumu ughaibuni
Kwahiyo umasikini ndio sifa ya mtu kufanya makubwa nje ya nchi? Ulitaka matajiri wasifamye makubwa?

MTanzania ni mmatumbi tu?
 
Ngoja waje wakupopoe kwa mawe. Ni ukweli ingawa kuna kauchungu fulani hivi.

Wengi tunabangaiza life hakuna la maana na miaka inaenda kasi.
Wengi tuna bangaiza au wewe una bangaiza?

Unafanya generalization zisizo na mantiki..!!

Sema wewe binafsi unabangaiza.

Kimaisha wengi hatujatoboa kivile isipokuwa exposure, ila full stress ya kutoboa kimaisha.
Ughaibuni is not for the weak.

Kama unakuja au ulikuja majuu kwa njia za panya bila ujuzi wowote wala elimu kutoboa utasubiri sana.
Tunaishi magetoni zaidi ya miaka 15. Huwa narudi home mara moja moja kusalimia, baadhi ya jamaa tuliowaacha bongo wametupiga gap kali la life.

Tunachowazidi ni; lugha, mavazi, miondoko ya kimamtoni na exposure.

Mfukoni tupo apeche alolo.

Huku homeless na life duni kwa baadhi ya wenyeji wapo, ukute mbongo anakuja mamtoni bila ramani ategemee msoto mkali.
Hizi ni Personal issues na experiences zako binafsi.
 
😂😃 kwanza Diaspora mwenye maisha huwez kumkuta humu JF anatokwa mapovu...
Humu JF wapuuzi washamba ni hawa Diaspora masikin wasio na maisha wazururaji ombaomba wala makombo ya wazungu, wauza K na Washika ukuta, ndio wanachukia wakiambiwa ukweli ni hawa wabeba mabox, wafagia barababara, waosha vyombo, wazibua mavi, house boys and girls wa wazungu...
Unajiita Diaspora 😃 wakat wazaz wako hata wakiumwa malaria huna uwezo wa kuwatumia hela? Diaspora huna hata kiwanja kule Mbagala chalambe chamazi 😂 Diaspora huwez hata kuja likizo ya Christmas au Eid kwasabab huna nauli ya ndege 😂 Diaspora unashindia mikate ya msaada na juice 😂 Diaspora unaogopa kuumwa kwasabab unajua ukiumwa utaishia kufia ndani huna hela huna bima 😂 Diaspora unaish getto na machokoraa wa ulaya 😂 Diaspora unaish nyumba za msaada wakimbiz na masikini 😂
Diaspora mavi matupu 😃😂
Na wewe ni Mpuuzi Mshamba unayehangaika na maisha ya watu yasiyo kuhusu.

Ungekuwa na maisha usinge tokwa na mapovu kwa maisha ya Diaspora yasiyo kuhusu.

Njaa zako na Ukapuku wako ndio unakufanya kufuatilia maisha ya Diaspora yasiyo kuhusu.

Unathibitishaje kila Diaspora aliyepo JF hana maisha?

Aliye anzisha mada angekuwa na maisha ya mafanikio, Angekuja kuhangaika na maisha ya Diaspora asio wajua?

Kama wewe una maisha mazuri kwa nini uhangaike na maisha ya Diaspora yasiyo kuhusu?
 
Kwa chuki hizi acha waendelee kuturingishia mapicha aisee,, maana watz tunaongoza kwa wivu, uchawi, fitina, majungu na roho za kwanini,, akifanikiwa ndo mnaanza shobo dundo, nilibahatika kuchumbiwa na diaspora nilipotangaza tu home hiyo vita iliyoinuka sikuwahi kuwaza,, sasa unadhani nikifanikiwa kuungana nae nitasaidia mtu!! Nimejifunza kuwa na roho mbaya na watajuta hayo mapicha na vile wenzetu kila kitu ni chenye ubora arooo ndo maana wanaringa kama wamefika mbinguni
 
DIASPORA UCHWARA DIASPORA MAVIMAVI DIASPORA BOGUS DIASPORA WAPUUZI MNAISHI NCHI ZA WA WATU KAMA WAKIMBIZI MNAJIITA DIASPORA..? NYIE NI VILAZA TU😃😂😃

Back
Top Bottom