Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Mkuu papers zimekugomea nini, kuwa mpole Waache Diaspora waenjoy/wateseke wawezavyo.

Btw, malengo yanatofautiana kati ya mtu na mtu, mwingine anasave awekeze home, mwingine anasave anunue nyumba na kuwekeza kulekule sababu hana mpango na huku mavumbi tena.

Mimi kuna mtu wangu wa karibu ameondoka si muda, kuna vitu ameniachia sababu harudi na hana mpango huo.

BFF wangu pepars zake zitatoka soon, sasa huyu anampango akienda kule amkate kila mtu, anasema nitakuwa nawasilina na wewe tu BFF. Ofcoz ana matatizo fulani na familia yake Kwahiyo hamtaki mtu na harudi. Sasa mtu kama huyu utasema aje afanye kitu gani cha maana huku wakati hana mpango napo?

Learn.
 
Kuna jamaa yangu alitoka home ndani ya mwaka kamjengea mama yake jumba na wadogo zake wawili kawafungulia biashara za maana , wivu wa majirani kidgo wamchomee ndani mama wa watu .

Ukiwa maskini ukitaka kujichomoa katikati ya maskini hakuna rangi utaacha kuona .

Ila wakishaona hawawezi kukufikia tena watajifanya machawa wako , utasikia nilijua tu utafika mbali[emoji12][emoji12]
 
Na mi najua tu utafika mbali (nishaanza kujiweka kuwa chawa wako mkuu) 😂😂
 
Ni kweli kabisa mkuu na huwa hawasemi ukweli kazi yao ni kuwa danganya wengine kwa cosmetic life ila wengi wao maisha yao ni magumu sana, na akitokea amerudi Bongo ndio anachanganyikiwa kabisa.

Mnaosema watu wanawaonea wivu sio kweli lazima ukweli usemwe mmbadilike na kama isingekuwa kweli msingekasirika hivyo. Ukweli unauma zaidi ila ukweli ni mmoja huwa haugawanyiki.
Ukweli unauma?? Huu usemi umetokea wapi? Au ni usemi wa kicommumist?

Mkuu ulishawahi kusingiziwa kitu cha uongo? Utakuja kufuta kauli yako ya ukweli unauma.
 
Mtu ajilipie nauli anavyojua yeye, atafute viza kwa nguvu zake mwenyewe, apige picha kwa kamera yake mwenyewe, aposti kwa bundle lake mwenyewe, halafu wewe uliyoko Nanjilinji uteseke????
Hudhani kama una dosari kidogo mkuu???

Yani ukasirikie mtu ambae huna mchango wowote kwenye maisha yake???

Ndugu upo hatua chache sana kuwa mchawi kamili. Tafuta maombi kabla hujaanza kupaa na ungo.
Uchawi kamili anao sema ajapata vilipuzi kama vya Iran aanze kuturudisha nyuma walala hoi
 
Your point is baseless.

Mtu akudanganye wewe anamaisha mazuri ili apate faida gani? Anapata nini kutoka kwako? Unampa hela au? What if ana maisha mazuri kweli?

Wewe huna shughuli za kufanya hadi ufuatilie nani ana maisha mazuri kweli au mabaya?

Kama unadhani watu wengi wana maisha mazuri bongo kuliko nje, basi na wewe waonyeshe hao diaspora hizo picha ili na wao wakuonee wivu. If that were the case, watu wasingekua wanauliza jinsi ya kwenda nje kila siku.
Cosmetic life ni wajinga tuu ndio wanaulizia kuja nje mtu kama mimi siwezi kuacha kuenjoy vyakula safi halisi kutoka shambani nije kula vyakula vilivyosindikwa na vyakula vilivyopikwa wiki nzima. Mtu mwenye maisha yake mazuri haitaji kuonesha kwamba yupo vizuri, wale wasio na maisha mazuri ndio huwa wanafanya hivyo kujipa moyo
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k

Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
'dayazipora' lazima wakupike...angalia comment za hasira
 
Back
Top Bottom