Angalia life expectany ya wanaokula vyakula vya kusindikwa na wewe unaekula vyakula halisi uone ulivyo mweupe kichwani. Ndo nyie mnaoamini mnawazidi wazungu nguvu sababu mnakula ugali huku timu zenu za michezo zinashindwa hata kuqualify kushiriki mashindano ya kimataifa. Wabongo wengi ni empty set kabisa hivyo vyakula itakua vinawapunguzia uwezo wa kufikiri maana nchi zenyewe ni shitholes.
View attachment 2875652
Kwa hiyo na wewe umekuwa mzungu, sasa Life expectancy unaangalia indicator moja tuu ya chakula. Cases za Cancer kwa Marekani na Ulaya utafananisha na Africa?