Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #141
Wewe nionyeshe ulichofanya kwanini tuandikie mate nawakati kalamu ipo ndo lengo la uzi na jambo lingineUmesoma na kuelewa alicho andika Pascal Mayalla hapo juu?
Wewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.
Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block π€£π€£π€£π€£
Wewe umeonyesha ulichofanya?Wewe nionyeshe ulichofanya kwanini tuandikie mate nawakati kalamu ipo ndo lengo la uzi na jambo lingine
Mimi sina-nilichofanya wala siwezi ficha huo ndo ukweli na sina cha kuonyeshaWewe umeonyesha ulichofanya?
Kwa nini unadhani Diaspora tu wanapaswa kuonyesha walichofanya?
Je wewe una chochote cha kuonyesha ulichofanya?
Kumbe vita yako na jamaa ni kuhusu Mungu .Mimi kaniblock nikamwambia hii ni forum na kosa langu ni lipi kuna kipindi alikua anamdiss mtu nikamuambia nionyeshe ulichofanya cha maana akaniblock ila akaja kuniondelea block ila jana kaniblock tena baada ya kumwambia yeye mtu wa kawaida hii ni ishara ya kusumbuliwa na stress
Mimi mtu akiniambia ni wakawaida sijafanya kitu au kapuku, maskini siwezi mkasirikia sababu nauhakika hanijui ni kama anarusha jiwe gizani nakama nikikasirika alichoongea kina ukweli
Kuna point umeongea ya maana sana hakuna mtu aliyefanikiwa anahangaika kama kuna Mungu au la
Wewe ni kichaa periodWewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?
Zaidi ya chuki, mihemko,hasira, maneno ya shombo na Stress zako unazo kuja kuzimalizia huku JF.
Ungekuwa umefanikiwa uzingeleta chuki zako hapa JF.
Umaskini na Ukapuku unakusumbua hadi unapata wivu.
Kaa bongo ukamuliwe Tozo.
Sio Mungu hata nilimwambia aonyeshe alichofanya sababu yeye ni bingwa wa kukosoa watu wengine na kujikuta mjuajiKumbe vita yako na jamaa ni kuhusu Mungu .
Achievement kubwa niliyoona kwako ni kupinga uwepo wa MunguWewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?
Zaidi ya chuki, mihemko,hasira, maneno ya shombo na Stress zako unazo kuja kuzimalizia huku JF.
Ungekuwa umefanikiwa uzingeleta chuki zako hapa JF.
Umaskini na Ukapuku unakusumbua hadi unapata wivu.
Kaa bongo ukamuliwe Tozo.
Sasa mtu aonyeshe Maendeleo yake binafsi ili iwe nini ,?Sio Mungu hata nilimwambia aonyeshe alichofanya sababu yeye ni bingwa wa kukosoa watu wengine na kujikuta mjuaji
Duh unahasira sana mkuu , sasa utaonea wap mafanikio ya watu humu, au unataka watu wafanye mbwembwe na majigambo humu yakuonyesha mafanikio?Mimi sina-nilichofanya wala siwezi ficha huo ndo ukweli na sina cha kuonyesha
Sasa nyie mliokimbiliwa huko abroad kwa kisingizio kuna opportunity miaka inaenda mnakua hamna tofauti na aliyebaki hapa Tanzania
Baba yako bora angemwaga manii zake chooni kuliko kuzaa Umbwa kama wewe...Wewe ni kichaa period
Unatoka nje ya mada.Achievement kubwa niliyoona kwako ni kupinga uwepo wa Mungu
[emoji16][emoji16] wa njee mnapigwa vita sana na hawa chawa wa ccm ,hizo pini mnazowapiga kutokea huko C.H ndio zinaleta haya[emoji1787]Unatoka nje ya mada.
Kuwepo kwa Mungu au kutokuwepo kwa Mungu, Hakuna uhusiano na Achievements za mtu.
Wacha makasiriko we muoheshaji na mchambishaji wamama wa kizungu huko nje. Jibu nini cha maana ulichofanya huko nje. Usiwatishe wenzakoWewe pamoja na huyo Mungu wako una maisha gani bora uliyonayo?
Zaidi ya chuki, mihemko,hasira, maneno ya shombo na Stress zako unazo kuja kuzimalizia huku JF.
Ungekuwa umefanikiwa uzingeleta chuki zako hapa JF.
Umaskini na Ukapuku unakusumbua hadi unapata wivu.
Kaa bongo ukamuliwe Tozo.
Kiangazi na njaa za januari zinasumbua.[emoji16][emoji16] wa njee mnapigwa vita sana na hawa chawa wa ccm ,hizo pini mnazowapiga kutokea huko C.H ndio zinaleta haya[emoji1787]
We maskini Umbwa takataka Kafie mbele qmmmk.Wacha makasiriko we muoheshaji na mchambishaji wamama wa kizungu huko nje. Jibu nini cha maana ulichofanya huko nje. Usiwatishe wenzako
ππKuna chalii yangu yuko Toronto kabadilika kila kitu yani akipiga picha anafanana na kina will smith hata kiatu hakichafuki kama alivyokua huku ngarna au ngalimi
Na ndevu hazijikunji tena
Sasa tupicha picha twenyewe tuko wapiπ€Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k
Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Wala mimi sio Kiranga.
Unafanya speculations zako tu.
Umeshindwa kujibu hoja za watu unaanza Viroja.