Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Umeme bure!!! Umeme upi mkuu[emoji849]
I was being sarcastic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme bure!!! Umeme upi mkuu[emoji849]
Hakuna watu wanatoa maneno ya kimzaha na kejel kama shirika la umeme kuhusu kukatika katika ovyo kwa umeme .I was being sarcastic.
Hakuna watu wanatoa maneno ya kimzaha na kejel kama shirika la umeme kuhusu kukatika katika ovyo kwa umeme .
Mtoa mada mpka sasa sijaelewa tatzo lake ni nin 🤔
ni kazi kama kazi zingine tu, watite ukawasafishe, watapike uwasafishe fresh tu, si sawa tu na manesi na madoctor wanachofanya. ndio kazi zenu hizo.Hakuna tatizo kabisa hapo. By the way, kwani kuchunga wazee Sio kazi halali!?
hii nchi utaiona mbaya kama hujatoboa, ila ukitoboa hapa kuna maisha bora kuliko ulaya na america. ukiona unajutajuta jua haujatoboa na kama hautatoboa hapa hata ukienda ulaya utapata shida sana na ukifanya mchezo utaolewa. kwasababu hapa ukiwa na pesa kuna fursa nyingi na wajinga wengi wa kuwatumikisha ili uendelee kukaa kileleni, kuna uwanda mkubwa sana pia kukwepa kodi (pamoja na kwamba sishabikii hilo), ulaya ukienda jua utatakiwa kulipa kodi, na kila mtu hata yule uliyemwajiri ana sauti na humfanyi lolote, maisha yapo juu sana, ndio maana kama hauna kisomo kizuri cha kupata kazi ya kuajiriwa yenye mshahara mzuri, utapata shida sana wala msidanganyike kwenda huko. utaishia kuwa mfagizi, mzibua mitaro, osha makalio ya vibibi na vibabu, dereva, kibarua kwenye ujenzi n.k kazi ambazo bado unaishi kama mtumwa tu na kila unapogeukia ni kodi ambayo huwezi kukwepa.Yote Heri kuliko kuozea kwenye hii nchi inayoendelewa kuharibiwa na ccm.
Of course ndio kazi zetu hizi, ulitaka wote tufanane, au!?ni kazi kama kazi zingine tu, watite ukawasafishe, watapike uwasafishe fresh tu, si sawa tu na manesi na madoctor wanachofanya. ndio kazi zenu hizo.
Wewe uliyetoboa sidhani kama ni kazi Yako kuwashauri waliotoboa. Just Live your life, na usiwe mshauri saana hata kama hujaombwa ushauri .hii nchi utaiona mbaya kama hujatoboa, ila ukitoboa hapa kuna maisha bora kuliko ulaya na america. ukiona unajutajuta jua haujatoboa na kama hautatoboa hapa hata ukienda ulaya utapata shida sana na ukifanya mchezo utaolewa. kwasababu hapa ukiwa na pesa kuna fursa nyingi na wajinga wengi wa kuwatumikisha ili uendelee kukaa kileleni, kuna uwanda mkubwa sana pia kukwepa kodi (pamoja na kwamba sishabikii hilo), ulaya ukienda jua utatakiwa kulipa kodi, na kila mtu hata yule uliyemwajiri ana sauti na humfanyi lolote, maisha yapo juu sana, ndio maana kama hauna kisomo kizuri cha kupata kazi ya kuajiriwa yenye mshahara mzuri, utapata shida sana wala msidanganyike kwenda huko. utaishia kuwa mfagizi, mzibua mitaro, osha makalio ya vibibi na vibabu, dereva, kibarua kwenye ujenzi n.k kazi ambazo bado unaishi kama mtumwa tu na kila unapogeukia ni kodi ambayo huwezi kukwepa.
Diaspora wa bongo wanaoishi Marekani maisha yamewapiga mpaka wanao na Mungu hayupo.Mfano Kiranga maisha yamemgaragaza ameomba Mungu bila majibu mpaka kajikatia tamaa na kuanza kusema eti Mungu hayupo. Mtu aliefanikiwa na anaefanikiwa kwenye mipango yake ya maisha na anae ishi vizuri hawezi kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Pia Kiranga anadai haamini kama kuna uganga na uchawi Kwa sababu inawezekana baada ya maisha ya Marekani kumpiga na kufanya maombi kwa muda mrefu bila majibu aliamua kujaribu kwa waganga na kwenyewe akaliwa kichwa.
Kiranga is a bitter person kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Marekani ndio maana watu waki mchallenge kidogo hapa JF ana wa block 🤣🤣🤣🤣
Nimegundua humu JF sasa hivi kumejaa wapumbavu wengi sana. Sasa diaspora wa bongo unaweza kuwalinganisha na Kenya, Nigeria au Morocco kweli??? Hao wameanza kusafiri kitambo sana na matunda yao mnaoyaona sasa hivi ni baada ya vizazi na vizazi, sasa wabongo wengi wameingia ughaibuni kwenye 90s, na ni 1st generation. subirini 3rd or 4th generation kama mtakuwepo maana life span ya bongoland ni 50 haahaaha, ndio mseme hivi. Bongo nyoko sana watu wamejaa na husda tu, njaa zinawafanya muwawaze diaspora kila mkijamba ushuzi wa maharage 😂 😂 😂 😂 😂 😂
pole. pambana kuna siku utatoka tu ndugu.Wewe uliyetoboa sidhani kama ni kazi Yako kuwashauri waliotoboa. Just Live your life, na usiwe mshauri saana hata kama hujaombwa ushauri .
Hatuwezi kusubiri kumtathmini 3rd and 4th generation migrant. Huyo hatakuwa Mtanzania tena! Na wala hataulizwa umeifanyia nini nchi yako ya zamani.wabongo wengi wameingia ughaibuni kwenye 90s, na ni 1st generation. subirini 3rd or 4th generation kama mtakuwepo maana life span ya bongoland ni 50 haahaaha, ndio mseme hivi. Bongo nyoko sana watu wamejaa na husda tu, njaa zinawafanya muwawaze diaspora kila mkijamba ushuzi wa maharage 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂😂😂wabongo nuksi sanaKuna jamaa yangu alitoka home ndani ya mwaka kamjengea mama yake jumba na wadogo zake wawili kawafungulia biashara za maana , wivu wa majirani kidgo wamchomee ndani mama wa watu .
Ukiwa maskini ukitaka kujichomoa katikati ya maskini hakuna rangi utaacha kuona .
Ila wakishaona hawawezi kukufikia tena watajifanya machawa wako , utasikia nilijua tu utafika mbali[emoji12][emoji12]
Mara ukame. Mara maji mengi. Mara mitambo mibovu ni danadana mwanzo mwisho.
Nuksi takataka kabisa🤣🤣😂😂😂wabongo nuksi sana
Ngoja nikwambie wewe, 1st generation hawezi kuingia ughaibuni kuipambania nchi badala ya kujipambania yeye kwanza na familia yake. li nchi lenyewe limejaa wala rushwa kuanzia viongozi huko juu hadi chini watoa huduma, halafu mie nimeingia kwa mnyamwezi kwa kupambana mwenyewe nianze kuwaza kulipambania li nchi la wala rushwa NEVER. Pambaneni na hali zenu banaa diaspora nao waacheni na life yao, kingine wengine hatukuondoka bongo ili baadae turudi, tuliondoka kwenda mamtoni kuishi na kutengeneza familia zetu, kuja huko ni holidays tu! Hakuna cha kuwasaidia zaidi ya kuwaachia ndugu mijengo waishi kwa nafasi bila kulipa kodi. Yaambieni Ma CCM yawetengenezee nchi kwanza; jana tumeona mlivyokua mnaogelea kama samaki huko jangwani na ununio sijui mnakosema wanaishi washua, sio kujifanya kuwapelekea lawama diaspora fyuuu.Hatuwezi kusubiri kumtathmini 3rd and 4th generation migrant. Huyo hatakuwa Mtanzania tena! Na wala hataulizwa umeifanyia nini nchi yako ya zamani.
Mnaulizwa nyinyi! First generation immigrants mliotoka huku, mkakimbia shida, mna meaningful impact gani kwa TZ nyinyi watu ?????
Mama yake Donald Trump hakuzaliwa US, wala baba ya baba yake hakuzaliwa US, hivyo Trump ni second generation citizen. Watakaokuwa 3rd and 4th ni wajukuu wa Trump. Sasa wajukuu wa Trump wataulizwa umeifanyia nini nchi waliotoka babu zako wakati Trump mwenyewe (second generation) haulizwi kuhusu nchi ya mama yake ???? Wanaulizwa first generation tu, mnaulizwa nyinyi! First generation migrants.
Sasa msitoke mapovu. Na sikutegemea diaspora mwenye exposure, umekaa nje miaka kibao, unajibu hoja ya mchango wenu na mafanikio yenu, hoja inayoandikiwa mpaka thesis za PhD kwa kusema "wewe mchawi, unawashwa na pilipili ya shamba, tulipoondoka hatukukuaga, mnakula nyanya chungu Nanjilinji, una kijiba cha roho." Ningedhani mmeshasahau mambo ya uchawi na vijiba vya roho! hahahahahaaaaaa!
Mfano diaspora wa nigeria wanavyofanya mambo yenye impact ya kuitangaza nchi yao sio lazima uisaidie hapanaNgoja nikwambie wewe, 1st generation hawezi kuingia ughaibuni kuipambania nchi badala ya kujipambania yeye kwanza na familia yake. li nchi lenyewe limejaa wala rushwa kuanzia viongozi huko juu hadi chini watoa huduma, halafu mie nimeingia kwa mnyamwezi kwa kupambana mwenyewe nianze kuwaza kulipambania li nchi la wala rushwa NEVER. Pambaneni na hali zenu banaa diaspora nao waacheni na life yao, kingine wengine hatukuondoka bongo ili baadae turudi, tuliondoka kwenda mamtoni kuishi na kutengeneza familia zetu, kuja huko ni holidays tu! Hakuna cha kuwasaidia zaidi ya kuwaachia ndugu mijengo waishi kwa nafasi bila kulipa kodi. Yaambieni Ma CCM yawetengenezee nchi kwanza; jana tumeona mlivyokua mnaogelea kama samaki huko jangwani na ununio sijui mnakosema wanaishi washua, sio kujifanya kuwapelekea lawama diaspora fyuuu.
🤣🤣🤣Ok, but how is that any of your concern?
You don’t got a life of your own and wish to live vicariously through others or what?