Hata ikiwa kweli unayosema (which is not nevessarily true), wana haki ya kuishi wanavyotaka.Diasporas wetu ni ma atheists tu na kazi ya kutumia maneno magumu ya kiingereza hapa JF na X tofauti na hapo kujisifia tu wapo mtoni. Hongera kwa huyo Dada!
Hapana sina maumivu yoyote mkuuHata ikiwa kweli unayosema (which is not nevessarily true), wana haki ya kuishi wanavyotaka.
Hivyo ndivyo walivyoamua.
Inakuuma?
it is true and this is not good at all!Wabongo wengi na serikali yao wana tabia ya kuwapuuza watu, halafu watu wana fight kivyao mpaka wanaitoa huko nje, halafu wakishaitoa ndiyo utawasikia "huyu Mtanzania".
trueAbdulrazak Gurnah kaondoka Zanzibar zamani sana in the 1960s huko. Kaenda Uingereza, kasoma kivyake, kafundisha vyuoni. Serikali ya Uingereza imekuwa na mchango mkubwa kwake kuliko Zanzibar/Tanzania.
trueAlivyoshinda nishani ya Nobel tu, watu wakaanza kum claim "huyu Mtanzania".
trueHawajamsoma, hawamjui, hawajamsaidia, wamemzingua mpaka kaamua kuishi nje kama mkimbizi asiye na kwao.
trueHalafu aliposhinda nishani ya Nobel mpaka rais wa Zanzibar kajiweka karibu naye akisema huyu Mzanzibari.
This is bad,diaspora wa Zanzibar ndio wanaokwamisha uraia pacha,kwababu ni wengi mno na wana political motives,tukashauri basi waruhusiwe kuwa na special status, kumiliki mali na kuwekeza ila wasiruhusiwe kujishughulisha na local politics,kwa Zanzibar,diaspora wanaweza kupindua meza dakika sifuri!Leo kuna mshikaji alikuwa anakaa Canada karudi Zanzibar miaka kadhaa, mpaka sasa kitambulisho cha ukazi Zanzibar wanamzingua, anasema hata uchaguzi ujao wa 2025 inaonekana hataweza kupiga kura, kwa sababu ya huu ujinga. Wakati wenzetu wa nchi nyingine wanapiga kura hata wakiwa nje ya nchi.
East, West, home is best!Sasa kwa figisu hizi unategemea vipi watu wenye uelewa wa mambo washobokee habari za Utanzania?
Sawa. Basi kubali tu kuwa watu kuamua kuwa ma atheist wanaoishi wanavyotaka wao ni human right yao.Hapana sina maumivu yoyote mkuu
Wengine tushajiongeza home ni ulipo.it is true and this is not good at all!
true
true
true
true
This is bad,diaspora wa Zanzibar ndio wanaokwamisha uraia pacha,kwababu ni wengi mno na wana political motives,tukashauri basi waruhusiwe kuwa na special status, kumiliki mali na kuwekeza ila wasiruhusiwe kujishughulisha na local politics,kwa Zanzibar,diaspora wanaweza kupindua meza dakika sifuri!
East, West, home is best!
P
no hapana,sio alikuja na maudhui bali ali facilitate maudhui akawarekebisha vijana,wakamhakikishia watarusha,jamaa akamset Mzee Baba aangalie, muda ulipofika hawakurusha ndipo jamaa akakasirika,akayafuata maudhui yake,akatupa sisi jf tukarusha。Kwa maelezo ya wale vijana wa clouds walishurutishwa kurusha hewani maudhui ambayo RC alikuja nayo pale studio, huo ni uvamizi
Hands down!。Wengine tushajiongeza home ni ulipo.
Home ni dunia nzima, wewe tu.
Hiyo ni kazi ya Serikali sio kazi ya Diaspora.Mimi niliishia level ya kubeba box, sikufanikiwa kutusua, hivyo nikajirudia zangu Bongo. Hapa nawazungumzia diaspora wa Tanzania walotusua Marekani, wana vuta ma G -Wagon na ma Tesla, huku vijijini kwao walikotoka, kina mama wanajifungulia chini wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa deski!.
Is this fair?.
P
ideas never dies,na inaboresheka as times go byMimi nilikuwa na idea kama yako.
Hiki ndio TAK,inataka kufanya, tunapo waachaIla ilikuwa kwenye engagement ya social media. Niliona Watanzania wajinga wanaongea sana, halafu wenye akili wako kimya.
Utanisaidia sana kama utaniruhusu kuanzia na ulipoNikaanza kuwatafuta hao waliofanikiwa, wanaofanya mambo ya maana.
This is one of the best candidates wa TAKNikamtafuta mmoja anaongoza foundation yenye budget ya $5 billion dollars hapa New York City at that point. Jamaa yuko vizuri kapita Harvard, Tanzania nako yuko well connected kuanzia Ikulu (alikuwa mshauri wa rais) mpaka mtaani.
This is exactly what I want to do.Nikamwambia nakuomba uje tuongee na Watanzania, mambo ya career, uzoefu wako, matatizo ya Tanzania, fursa za kuyatatua, na chochote utakachopenda. Vijana watapata mengi ya kujifunza kwako.
Controllability of social media ni changamotJamaa aliniambia yuko tayari kuongea on a small scale setting na watu wachache anaowajua lakini social media ya Bongo ni toxic space. Watu wanapenda fitna na kubishana kuliko kuelimika. Na yeye hapendi ubishi wa kijinga. Na zaidi ana high visibility akianza kubishana bishana na watu mitandaoni inaweza hata kumuharibia kazi yake.
Lets help change thisKuna wakati nilimuona kama selfish lakini kadiri muda unavyoenda na ninavyoangalia mazungumzo ya Wabongo nimemuelewa sana.
Kile ni chombo cha habari kina sheria na miongozo yake, kwamba wahusika hawajui nini cha kufanya mpaka RC hawasaidie? Wakuu wa mikoa wote wakianza ku-facilitate maudhui ya vipindi vya televisheni itakua sahihi?.no hapana,sio alikuja na maudhui bali ali facilitate maudhui akawarekebisha vijana,wakamhakikishia watarusha,jamaa akamset Mzee Baba aangalie, muda ulipofika hawakurusha ndipo jamaa akakasirika,akayafuata maudhui yake,akatupa sisi jf tukarusha。
p
Sawa kaka nitasubiri kwa uwezo wa Mungu itafanikiwa. 🙏🏻Nafungua Bureau huku,nitaajiri Watanzania,hivyo muda muafaka ukifika,huna haja ya kubeba box, utaendelea na media production yako, the only problem ni it takes time。
P
Mzee baba primary umesoma tosamaganga iringa? Flow ya comments zako huwa nakufananisha na mdogo angu mmoja hivi nimesoma nae primary tosa.Sister wangu alivyokuwa anaenda kusoma UK, Mzee alimpiga sana mkwara asizoeane kabisa na watz, wala wasijue anaishi wapi, akaenda kumpangia nyumba mitaa ya weupe.
Kiukweli nilikuwa sielewi lakini baadaye nikaelewa. Ukifanikiwa nje ya nchi, hakikisha watz wala serikali ya JMT haikufahamu unafanya nini.
Hii nchi ina watu wa hovyo mno.
Mzee baba primary umesoma tosamaganga iringa? Flow ya comments zako huwa nakufananisha na mdogo angu mmoja hivi nimesoma nae primary tosa.
Sema mimi nakuwaga na heshima fulani natural kwa mtu yeyote aliyesoma Ilboru. Baba yangu alisoma pale miaka ya 70. Mimi pia nilipambana ila ikashindikana O - level na A - Level. It was my dream school.no mimi sio mjanja,ni Msukuma mmoja mshamba mshamba na mjinga mjinga aliyehamia mjini。
P
Basi nimefananisha jina lako mdogo angu.. kama upo around na kijichi nipo hapa getway, unaweza kuibuka tukafahamiana., hapa kwenye meza niliyopo bill zote ni juu yangu kwaiyo hautaingia gharama yoyoteTosamaganga tena 🤣. Hapana mazee.
Basi nimefananisha jina lako mdogo angu.. kama upo around na kijichi nipo hapa getway, unaweza kuibuka tukafahamiana., hapa kwenye meza niliyopo bill zote ni juu yangu kwaiyo hautaingia gharama yoyote