Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

Yaani uraia pacha hamtaki kuwapa halafu kwenye kusaidia Hospitali watu kulala chini mnawatafuta. Hao ni raia wa kigeni kama wazungu tu ni mpk pale mtakapowatambua na uraia wao halisi wa kuzaliwa. Sio hicho kiini macho cha Special Status.
 
Wabongo wengi na serikali yao wana tabia ya kuwapuuza watu, halafu watu wana fight kivyao mpaka wanaitoa huko nje, halafu wakishaitoa ndiyo utawasikia "huyu Mtanzania".
it is true and this is not good at all!
Abdulrazak Gurnah kaondoka Zanzibar zamani sana in the 1960s huko. Kaenda Uingereza, kasoma kivyake, kafundisha vyuoni. Serikali ya Uingereza imekuwa na mchango mkubwa kwake kuliko Zanzibar/Tanzania.
true
Alivyoshinda nishani ya Nobel tu, watu wakaanza kum claim "huyu Mtanzania".
true
Hawajamsoma, hawamjui, hawajamsaidia, wamemzingua mpaka kaamua kuishi nje kama mkimbizi asiye na kwao.
true
Halafu aliposhinda nishani ya Nobel mpaka rais wa Zanzibar kajiweka karibu naye akisema huyu Mzanzibari.
true
Leo kuna mshikaji alikuwa anakaa Canada karudi Zanzibar miaka kadhaa, mpaka sasa kitambulisho cha ukazi Zanzibar wanamzingua, anasema hata uchaguzi ujao wa 2025 inaonekana hataweza kupiga kura, kwa sababu ya huu ujinga. Wakati wenzetu wa nchi nyingine wanapiga kura hata wakiwa nje ya nchi.
This is bad,diaspora wa Zanzibar ndio wanaokwamisha uraia pacha,kwababu ni wengi mno na wana political motives,tukashauri basi waruhusiwe kuwa na special status, kumiliki mali na kuwekeza ila wasiruhusiwe kujishughulisha na local politics,kwa Zanzibar,diaspora wanaweza kupindua meza dakika sifuri!
Sasa kwa figisu hizi unategemea vipi watu wenye uelewa wa mambo washobokee habari za Utanzania?
East, West, home is best!
P
 
it is true and this is not good at all!

true

true

true

true

This is bad,diaspora wa Zanzibar ndio wanaokwamisha uraia pacha,kwababu ni wengi mno na wana political motives,tukashauri basi waruhusiwe kuwa na special status, kumiliki mali na kuwekeza ila wasiruhusiwe kujishughulisha na local politics,kwa Zanzibar,diaspora wanaweza kupindua meza dakika sifuri!

East, West, home is best!
P
Wengine tushajiongeza home ni ulipo.

Home ni dunia nzima, wewe tu.
 
Kwa maelezo ya wale vijana wa clouds walishurutishwa kurusha hewani maudhui ambayo RC alikuja nayo pale studio, huo ni uvamizi
no hapana,sio alikuja na maudhui bali ali facilitate maudhui akawarekebisha vijana,wakamhakikishia watarusha,jamaa akamset Mzee Baba aangalie, muda ulipofika hawakurusha ndipo jamaa akakasirika,akayafuata maudhui yake,akatupa sisi jf tukarusha。
p
 
H
Mimi niliishia level ya kubeba box, sikufanikiwa kutusua, hivyo nikajirudia zangu Bongo. Hapa nawazungumzia diaspora wa Tanzania walotusua Marekani, wana vuta ma G -Wagon na ma Tesla, huku vijijini kwao walikotoka, kina mama wanajifungulia chini wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa deski!.
Is this fair?.
P
Hiyo ni kazi ya Serikali sio kazi ya Diaspora.
 
Mimi nilikuwa na idea kama yako.
ideas never dies,na inaboresheka as times go by
Ila ilikuwa kwenye engagement ya social media. Niliona Watanzania wajinga wanaongea sana, halafu wenye akili wako kimya.
Hiki ndio TAK,inataka kufanya, tunapo waacha
wajinga waongee sana, huku wenye akili wamenyamaza, the perception ni Tanzania ni
Taifa la wajinga wajinga, sasa machawan ndio wanaongozana na viongozi ziara za nje, hadi mkuu wa nchi anajisikia sifa kuitwa daktari kwa udaktari wa heshima na yuko very proud
kuwa na machawa!
Nikaanza kuwatafuta hao waliofanikiwa, wanaofanya mambo ya maana.
Utanisaidia sana kama utaniruhusu kuanzia na ulipo
ishia wewe mimi nika pick from there.
Nikamtafuta mmoja anaongoza foundation yenye budget ya $5 billion dollars hapa New York City at that point. Jamaa yuko vizuri kapita Harvard, Tanzania nako yuko well connected kuanzia Ikulu (alikuwa mshauri wa rais) mpaka mtaani.
This is one of the best candidates wa TAK
Nikamwambia nakuomba uje tuongee na Watanzania, mambo ya career, uzoefu wako, matatizo ya Tanzania, fursa za kuyatatua, na chochote utakachopenda. Vijana watapata mengi ya kujifunza kwako.
This is exactly what I want to do.
Jamaa aliniambia yuko tayari kuongea on a small scale setting na watu wachache anaowajua lakini social media ya Bongo ni toxic space. Watu wanapenda fitna na kubishana kuliko kuelimika. Na yeye hapendi ubishi wa kijinga. Na zaidi ana high visibility akianza kubishana bishana na watu mitandaoni inaweza hata kumuharibia kazi yake.
Controllability of social media ni changamot
Kuna wakati nilimuona kama selfish lakini kadiri muda unavyoenda na ninavyoangalia mazungumzo ya Wabongo nimemuelewa sana.
Lets help change this
perception
P
 
no hapana,sio alikuja na maudhui bali ali facilitate maudhui akawarekebisha vijana,wakamhakikishia watarusha,jamaa akamset Mzee Baba aangalie, muda ulipofika hawakurusha ndipo jamaa akakasirika,akayafuata maudhui yake,akatupa sisi jf tukarusha。
p
Kile ni chombo cha habari kina sheria na miongozo yake, kwamba wahusika hawajui nini cha kufanya mpaka RC hawasaidie? Wakuu wa mikoa wote wakianza ku-facilitate maudhui ya vipindi vya televisheni itakua sahihi?.

Tuache wenye proffesional zao wafanye kazi zao kama wakitoka nje ya mstari kuna sheria na miongozo ya kuwashughulikia hakuna haja ya kuwafata ofisini kwao na silaha za kivita
 
Sister wangu alivyokuwa anaenda kusoma UK, Mzee alimpiga sana mkwara asizoeane kabisa na watz, wala wasijue anaishi wapi, akaenda kumpangia nyumba mitaa ya weupe.

Kiukweli nilikuwa sielewi lakini baadaye nikaelewa. Ukifanikiwa nje ya nchi, hakikisha watz wala serikali ya JMT haikufahamu unafanya nini.

Hii nchi ina watu wa hovyo mno.​
Mzee baba primary umesoma tosamaganga iringa? Flow ya comments zako huwa nakufananisha na mdogo angu mmoja hivi nimesoma nae primary tosa.
 
Kiongozi umeanza kutoka nje ya nchi mapema (kwa kuingia na kutoka).

Ila Diaspora halisi (ambao) wamelikita kwa wingi ni watu waliochomoka kuanzia 1994 kwa madai ya kuwa wao ni wapinzani wanaogopa kufungwa na serikali.

Japo watanzania walikuwa wanatoka nje ya nchi kabla, ila mass migration imeanza 1994 kuelekea uchaguzi wa 1995.

Sasa mwanzo watu walipofika huko walikuwa washamba, ila sasa hivi. Watu waliotoka muda huo kwa sasa karibu wote wana makaratasi na wanaona fursa kama wenyeji. Uwezi kumaliza idadi ya diaspora wenye mafanikio ni wengi sana washazibuka.

Usitishike kuona mtu kafungua migahawa, biashara ulaya ni maswala ya strategic planning, marketing research and your appetite of risk taking.

Vinginevyo kuna watu wana care homes, wana accounting firms zingine zina deals za ku-process outsourced za makampuni kadhaa, kuna wengine wamesoma mpaka wanagombaniwa na serikali ya marekani na uingereza kwenye maswala ya kutengeneza silaha (yupo mmoja alikuwa US, BAE ya uingereza ikamnyakua) achana na huyu kuna dogo wa kipemba mtaalamu wa maswala engineering mpaka BAE wamemjengea chumba cha swala ili wamuajiri tu. Hao wakale wana watoto wao ndio kabisa, watanzania sio wale tena..

Mimi tu mtoto wa binamu yangu wa kwanza baba yake alikuwa au bado anafanya hiyo shughuli ni msambazaji mkubwa wa kuku Dar. Baba yake alipofika miaka 70 akamwambia arudi kuchukua biashara dogo akamwambia unacheza wewe. Sina shida na hela yako uza njoo ulaya nikufundishe property development uende pole pole na maisha mimi sitaki hata shillingi yako.

Dogo mwenye ni senior sales Mercedes upande wa M.E (ni nusu mmanga), kaoa mdosi wa EA walikutana chuo mkewe sasa hivi ni MD, yeye mwenyewe side hustle yake ni property development.

Sasa hivi watanzania wameshakuwa wenyeji wenye mafanikio ni wengi sana. Ukiona watu awawekezi Africa sio kwamba awataki ni kwamba hawana mpango wa kuishi huko tena. Kuingia ubia na ndugu hiyo hela uwa inapotea tu hilo somo ambalo washajifunza.

Wenye nia ya kurudi ndio uwekeza Tanzania.
 
Back
Top Bottom