Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Shukrani mzeeTundu Antipas Legend
tumsaidie labdaTafuta picha ya Diblo then utalijua jina lake
βkiduku aka raisi wa korea
,,Mwanasiasa anayeweza kupiga gita katika mziki wowote ule, uwe kwasa kwasa (haraka haraka) yumo na anapiga vizuri, kwenye rhumba (taratibu) anapiga gitaa vizuri. Anajua kwenda na kujibadilisha na nyakati na huyu si mwingine ni aliye vaa jezi Namba 3 mgongoni.