Diblo Dibala katika Siasa za Tanzania ndiyo nani?

Diblo Dibala katika Siasa za Tanzania ndiyo nani?

Nimekuwa nikisikia hili jina la utani kwa mwanasiasa fulani. Sijajua kalengwa nani. Namaanisha hili jina la utani kabatizwa nani? Ongea kwa code usitaje jina moja kwa moja.
Madilu alikuwa mtalaamu wa Diblo Dibara toka Congo
 
IMG_1346.jpg

Kwa mbali sana anataka kufanana na huyo jamaa
 
Back
Top Bottom