Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
e electrical engineer kuna shot inaonesha ilikupiga mahali. Una mtoto?we took out the regular one but the inverted one got away
OA MWENYEWE
Watu wanateseka sana,sheria zote zinamlinda mwanamke,wanaume wamekuwa wapole,iwe bahati mwanamke ajuwe nafasi yake lakini siku hizi had ulenge kwa manati.
Hapana sitaki utapeliWew
e electrical engineer kuna shot inaonesha ilikupiga mahali. Una mtoto?
To answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together 😊
I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .
Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
😀😀😀aah weee siku naolewa lazima nipitishe daftari la mchango humuEeeh beeeeh yaani makelele yotee humu mi najuaga we ni MKE WA MTU.
#YNWA
wamekubwa na watu ambao hawawezi waoa tena ikitokea nafasi nyingine ya kuoa... though wanakuja kwa njia ya kupotoshawanakumbwa na vitu gani. .
Thank you to hear that, but stick to where you're now and tell if you could turn back to those days, would you still choose her?😀If I could go heretofore in time, I would decide to love financial services.
I love her [emoji177] to the moon and back to infinity and beyond and more than words can speak out[emoji23].
Yaani unajifahamu kabisaa, heshima yake kwake anayekumudu😀Mimi kwa upande wangu ni mtu sahihi hakuna mwanamke anaweza kuishi na mimi zaidi yake.Akili zangu nazijua.
Sanaaa toka 2013 mpaka leo.Kwa mwingine kesho tu anabeba mizigo mbioo na harudi tena.Kweli kila shetani ana mbuyu wake.Yaani unajifahamu kabisaa, heshima yake kwake anayekumudu😀
Unanifarahisha ni mambo gani hayo hadi mtu akimbie kesho tu😀 safi sana kwa wife kumbe mnaweza kutulia eehSanaaa toka 2013 mpaka leo.Kwa mwingine kesho tu anabeba mizigo mbioo na harudi tena.Kweli kila shetani ana mbuyu wake.
Haa why? Una haraka gani si usubiri hadi ukipata chaguo sahihi? Wanasema better being late ila ufike salamabado sijaoa ila kuna kahatari ka kuja kuoa mtu ambae sio chaguo 100%
Mimi daily narudi saa 10 au 9 usiku hilo moja .Unanifarahisha ni mambo gani hayo hadi mtu akimbie kesho tu😀 safi sana kwa wife kumbe mnaweza kutulia eeh
Hee unakua wapi muda wote? Kuweka heshima bar utumie pesa zote huko? Mmh hapo mimi mwenyewe kesho mapema nakuacha😀😀Mimi daily narudi saa 10 au 9 usiku hilo moja .
WaoooHuyu bi dada kuna kipindi huwa natamani hata kumnyonga ila sipo tayari kumbadilisha na yeyote yule.
Katika kila maudhi yake kuna uvumilivu na kujitoa kwa hali ya juu alikonifanyia kulikonifikisha hapa nilipo.
Mke wangu ni mke sahihi kwangu.
Kabla wajuaji wa kusema nisubiri nitaona basi waelewe naelekea mwaka wa 17 katika ndoa sasa. Nishayaona yote.