Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Mke nipo naye kwa sababu ya huruma yangu
Ila baada ya kuwa nimempa mimba sikuwez kukataa ila sikuwahi kuwa na lengo naye na ni mtumishi
Ni jeuri sana mbishi mpaka kero
Inafika mahala hata kuingea naye sitak hata kujihangaisha hata nisafir mwezi mzima

Kinachofanya nashindwa kufanya maamuzi magumu
Ni watoto tu ambao kwa sasa ni wawili
Nikiwaangalia watoto sitamani walelewe na mama mwingine n hapo ndipo inanigharimu

Kwa sasa kifupi ni vile tu basi
 
Hoooo
Akiniletea uchizi ill for another one πŸ˜„
Alafu ukute yeye hataki
Kunamtu alisema tukisema kilamtu amkimbilie anaempenda tutakuwa tunakimbizana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huyu anakukimbilia Wew unamkimbilia mwingine na mwingine nae hivo ni kukimbia non stop πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
And I hope things will get sorted after having a baby(by becoming parents), as there is a power behind....
 
Alafu ukute yeye hataki
Kunamtu alisema tukisema kilamtu amkimbilie anaempenda tutakuwa tunakimbizana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huyu anakukimbilia Wew unamkumbilia mwingine na mwingine nae hivo ni kukimbia non stop πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila kiukweli ni uvumilivu tu ndio unaotakiwa
 
Mna miezi mingap?
 
Alafu ukute yeye hataki
Kunamtu alisema tukisema kilamtu amkimbilie anaempenda tutakuwa tunakimbizana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huyu anakukimbilia Wew unamkimbilia mwingine na mwingine nae hivo ni kukimbia non stop πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kabisaa kuna mtu naona kabisa ningemkimbilia ila yeye angetoka nduki sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mambo hayaπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…