Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Uzuri wa ndoa Ni kufunga hapo serikalini..
Kabla ya kuuana na depression unaenda omba talaka yako unajisogeza na maisha mengine.
Ukiamua kukaa na magonjwa yako ya moyo basi unaenda muimbarani.
Ila mkimjua Mungu na kumueka aongoze ndoa yenu inadumu.
Kama Huna uhakika wa kutunza hata moyo wako mmoja achana na ndoa fanya mengine.
 
The moment I laid my eyes on her she was already my wife😜😛🥴 ndoa zonaandikwa mbinguni duniani ni ushibitisho tu😀

Nilikuw muhuni hata mzabzab huoni ndani kwanza nilikuwa na fantasy za public places 😃
Utakuwa uligegeda demu kwa lecture hall wewe hapo ifm🤣🤣🤣🤣

Dah kwa hiyo sie wazee wa kataa ndoa ni kwamba mbinguni majina yetu hayapo? 🤣🤣🤣
 
Uzuri wengine nafsi zetu zinatusuta kabisa kuwa sie sio wa peponi ni moja kwa moja kwenye moto. I have made peace with that fact.
Huko motoni tutaenda wote mkuu,usijari tutakwenda na fire extinguisher kopo moja moja,
 
What an interesting story, thank you for sharing mkuu, couple yenu idumu hadi muone vitukuu pamoja🥰
 
Utii kamilifu kwa mume na maadili mema, pia huambiwa pepo yao hukamilika pale unapomtendea yaliyo mazuri mmeo!
Ok ila mbona hata sisi wakristo Bible imeandika wake waheshimuni waume zenu, hapo kwe heshima si ni pamoja na kutendeana mema🤷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…