Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Yaani huwa unawazaga mbususu tu, zitakuua
Relationships and marriage are about sex, mambk ya goals achia halland. By the way jana kaweka kambani goli tano. Namuonea huruma gelofrend wako kama anapiga goli hivi ata kwenye uwanja wa sita kwa sita sii balaaa🀣🀣🀣🀣

Gud morning mwananchiiii
 
Dah but why na mlioana mkipendana?
Alikudanganya nani kuwa wamependana? U marry first then love grows🀣🀣🀣🀣
Alafu katika kila mahusiano kuna mmoja anajipendekeza tuu, hasahsa sie wanaume tunakuwaga vinganganizi kwa mademu
 
🀣🀣
 

What a story, naombea wengine wapate hitaji la mioyo yao.
One statement nime notice β€œukiona hakuna progress kwenye mahusiano basi uko na wrong person” and yes by experience uko right
 
,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu,asante kwa kushare,tumejifunza mengi....
 
From Jf insta, hizo comments sasa +ve and -ve😍😁
 

Attachments

  • Screenshot_20230315-190836_Instagram.jpg
    155.6 KB · Views: 4
Maisha ya ndoa yanachangamoto zake na pia mazuri ni mengi sana ukiwemo umoja, upendo na kujaliana hasa nyakati ngumu zaidi ya hapo ni kuendekeza tamaa tu huko nje lakini kiukweli ukimuacha mkeo bila sababu kwa kuendekeza tu tamaa kuja kumpata mwanamke wa kuoa huku mitaani ni shida sana utamtamani mdada kwa urembo wake lakini ukimpata mara moja tu unaona kabisa you are wrong.Kwa upande wangu namshukuru mungu kwa kunipa asali wa moyo mama chanja namuelewa sana ni mke kweli kweli.
 
Kwangu Mimi ni tofauti, nilianzisha tu mahusiano kimasihara. Sikuwa serious naye kabisa, kumbe yeye yuko serious. Nikataka kumuacha ila walionizunguka wakanionya "oooh hutokaa upate mwanaume kama huyo". Nikaona isiwe taabu, tukafunga ndoa. Tuna Mtoto mmoja na Sina mpango wa kuzaa mwingine. Tupo tunalisongesha hivyo hivyo maana niliambiwa with time nitampenda ila bado sioni dalili.
 
Duh so mnaishi vizuri tu lkn?, japo wanasema unaweza kujifunza kumpenda mtu πŸ˜”
 

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…