Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

We have been through thick, thin, and in between... but yes, I would still choose Him again and again. I am so blessed to get to do this life with Him.
 
To be honest ukiacha madhaifu madogo madogo ya kibinadamu, hajawahi kunikosea. Hivyo tunaishi vizuri tu. Ni Mimi tu ndio moyo umegoma kumpenda.

Kwa hiyo hata wivu huoni juu yake
 
Nitoe mchango wangu sasa.

Mimi huku kwangu kuna waka moto tuna siku tatu hatusemeshani. Kwahiyo kwa namna alivyonikera siku zikirudi nyuma kama mada inavyosema sio tu sitamchagua bali siku tu akija kunitongoza atajuta.
[emoji23]
 
Interesting
Bwana na azidi kuwainua
 
Na ndio Ndoa zenu.

Nakala:-
dronedrake - Kwa taarifa

#YNWA
 
Hongera sana mkuu. Nimetamani sana mnavyoinjoi wewe na mkeo. Married for 5 years now, ila miezi niliyofurahia ndoa inaweza kuwa 8 kati ya hiyo miezi 60.

Mke mwema atoka kwa Bwana, apatae mke ajipatia kibali kwa Bwana. Ndio maana kama wewe unasema mna mafanikio makubwa sana. Ukiona mambo yako ya maisha hayafanikiwi na umeoa, ni dalili kuwa ulioa mke asiyekuwa mwema. Utasuffer sana
 
Girlfriend wa nani tena? Yaani ni mawazo ya mbususu tu 😀
 
Wow this is nice, that's for better for worse, hongereni sana mkuu na mzeeke pamoja🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…