Aiseee dida noma kwa hiyo kamtafutia bibi mume?Halafu nasikia kipindi chake kinaingiza hela kuliko vipindi vyote vya redio
Kwani wewe ni me au ke?
kasema eti ye shemale...me nishaanza kumuogopa asije akanibaka bureee....
Eeh makubwa, nyie binamu huyu sio bure, kesho inabid nimpeleke kwenye maombi kwa lwakatare
Bina usiamini kila nachopost Jf mimi dume kabisa nakojoa huku nimesimama
Bina usiamini kila nachopost Jf mimi dume kabisa nakojoa huku nimesimama
kukojoa ukiwa umesimama/inama haihisusiani. je kwenye 6#6 pia wakojoa
Toka lini umekuwa me?
mmh , uko juu kumbe n wewe una kirungu??
usiamini kila nachopost jf
Dida ana bahat ya ndoa nyie, yan ndoa tatu na bado anataka kuolewa tena wakat kuna watu wanataman ata wafanyiwe kitchen party ila hawapat hyo bahat, we muache tu mungu atamchoma
Mbna hao mashemeji wamechoka hawafanani hata na 1m kwel mwez w 10 umekua n maajabu,kwahiyo anasubiria gari y 26m mwee ndoa zote alizofunga hakupata zawadi ya mana eti birthday ndio gari ya 26m tutaskia mengi 2014
Anatak kumpiku wema madai, ila dida yuko njema vby kimkwanja mm ubay anasubir
Binamu dida yupo vzur sana, ana pesa chafu yule, ana majumba na magar kama uchafu, yule ni habr nyingine
Binamu nyumba c m.a.p.umbu hizo ni stori 2 mtu kapanga mwananyamala kua n noah na verosa c kua yuko vizuri maisha yke fekero 2
Hivi angekua safi angejiajiri hyo kazi y kumbwelabwela salary yke haiwezi zidi laki 5.,hiyo 26m anatafuta kiki tu