tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Dida anaingiza hela nyingi na usidhani pale kaajiriwa anachofanya yeye analipa airtime ya kipindi chake so hela zote za matangazo zinazobaki zinaenda kwake
Dida anamiliki mijengo miwili ,magar 6 na biashara zake nyingine kibao, yule ni level nyingine , kwa mtu ambae n form four leaver kama dida maisha yake ni tajir toshaa
Kwahiyo hiyo times inapata ninivkma hela zote anachukua yeye istoshe hiyo redio iko 2 dar mikoani haifiki,kwa mkwanja huo c bora afungue yake
Yeye analipia kipindi kwa mfano labda anachajiwa milioni labda 15 kwa kipindi chake so kama matangazo atapata milioni 25 means hizo kumi zake
Dida anaingiza hela nyingi na usidhani pale kaajiriwa anachofanya yeye analipa airtime ya kipindi chake so hela zote za matangazo zinazobaki zinaenda kwake
Mweee...
huyu demu anapaishwa tu wala si mzuri kivile, mchek figa vzr hajabalance, hana hipa na back iliyo proportional na huku juu, hamna namba 8 kabisa!!! ila yule mshkaj ezden alidhalilisha wanaume maana alikua analilia ovyo kwa waandishi kama mwehu!!!!
tumsifu yesu ktisto, binamu nimekuja kanisan leo kuombewa niache umbea, sijui nitafanikiwa ??
Dida ni mtulivu hana vurugu ndio maana wanaume wanampenda kama wema sepetu utulivu wao.
Tumsifu yesu ktisto, binamu nimekuja kanisan leo kuombewa niache umbea, sijui nitafanikiwa ??