TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Kumbe mambo hayo yashafika huko kwenu, uwii tumekwisha !! Huku mpaka kuna muda watu hawalali
 
Meza njugu, hutakii.

We mtu una CD4 30 unategemea utatoboa?

Bongo, entertainment industry nzima ni imeoza, nusu yao ni marehemu wanaotembea.

"Kizaa zaa gumzo gumzo kwa mabronzo ,masista du ,machizi,walimu na wanafunzi ni kazeze ni kazeze ni kazeze" -OCG

"Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumantain ni kazi kama hauna stamina backstage haina ulinzi wanapita kama counter" - Joh Makini
 
Hahaha watu mna maneno 😅
sasa wewe dini gani hiyo, mwanaume akifa anapata mabikira 72, ila mwanamke akifa hapati six park 72, yeye ni motoni moja kwa moja? au anapata nini? wanawake wanaohukumiwa kunyongwa wakiwa bikira, wanatakiwa kubakwa ili wakapelekwe motoni wasije wakaingia ahera. mood muongo kuliko hata shetani mwenyewe.
 
Wewe choko,mchukue mumeo mkabarikiwe,naona una hasira ya kupewa talaka na yule bwana yako aliyekufumua marinda.
 

Attachments

  • Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    324.7 KB · Views: 3
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki....Bwana ametoa ,bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ,inna lilai waina ilai rajiun....M.A.P Dida wa Mchops.
Mara ya mwisho alifungua kipub
Mtaa ufipa, nyumban kwa rafiki yake remind...hiyo kipub kilikuwa kinajaza mashg aise balaa
Ila kwa sasa kimefuka kipub
Anyway ndiyo hivyo tena...kifo ni kifo

Ova
 
maneno yako kama haya yanareflect dini chafu iliyo moyoni mwako. kumbe huwa hawakosei wanaposema dini yako ni ya shetani. mtu mwenye moyo safi hawezi kuongea kama ndugu gaidi unavyoongea hivi.
Wewe punga huna akili kabisa kumbe,hayo maneno uliyoongea wewe ni maneno masafi?

Halafu nyie mapunga hua hamjifichi kabisa siku hizi na wala hamuoni aibu,wewe ni maarufu hapa kua unapakuliwa,hilo lipo wazi.
 

Attachments

  • Screenshot_20241005_010653_WhatsAppBusiness.jpg
    464.1 KB · Views: 3
Nlifikiri utani mpaka nilipoingia insta nikaona Millard ayo kapost Ni kama ndoto jamaniii
 
Wewe punga huna akili kabisa kumbe,hayo maneno uliyoongea wewe ni maneno masafi?

Halafu nyie mapunga hua hamjifichi kabisa siku hizi na wala hamuoni aibu,wewe ni maarufu hapa kua unapakuliwa,hilo lipo wazi.
pole naona unatoa povu, actually ukiona mtu anaongelea ushoga zaidi jua hayo ndio yamemjaa moyoni, wewe utakua shoga, ila sishangai manake pwani na zanzibar mmejaa. vipi, utaenda kumsaidia ndugu yako ayatolah kamenei au na wewe umejificha nyuma ya keyboard tu kama wasaudia.
 
pole naona unatoa povu, actually ukiona mtu anaongelea ushoga zaidi jua hayo ndio yamemjaa moyoni, wewe utakua shoga, ila sishangai manake pwani na zanzibar mmejaa.
Naona kumbe ulijitangaza hapa kua wewe sio riziki bila kujijua,au ulijisahau? Angalia comment yako 267# wewe ni punga acha kuvunga sasa hivi,
vipi, utaenda kumsaidia ndugu yako ayatolah kamenei au na wewe umejificha nyuma ya keyboard tu kama wasaudia.
Mimi nitamsaidia babako kwa mamako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…