TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Pamoja na comment yako kuwa ya kiutani zaidi lakini huo ndio ukweli wenyewe.
 
RIP Dida. Gone so young and still beatiful. We'll miss you so much dear.
 
Haya Maisha Katili Sana Mkuu kuna kabinti ka 2000 ukimuona alivyonawiri huwezi Amini kama Anameza pipi Alizaliwa Nao So Sad
 
Na zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.
Wabishi hao.
Hizi za kila mwezi ni huku kwetu Mkuu wangu, sasa hivi kuna dozi unapewa inakaa miezi 6 na baadae wameambiwa watakuwa wanapata sindano moja kwa mwaka, lakini ni kwa watu waliofanyiwa vipimo na ikaonekana wako vizuri kiafya pamoja na kuwa waathilika.
Pia hata wanaotumia dozi ya kila siku ukitumia vizuri kwa muda mrefu na ikaonekana cd4 zako zinaongezeka kwa kiwango cha juu basi uwezekano wa kusimamishiwa dozi ya siku upo kwa muda ambao madaktari wako wataona unafaa.Nimefanya kazi na mradi uliokuwa una deal na hizo mambo chini ya ufadhiri wa global fund so kuna kitu nilijifunza.
Nimeshangaa sana dunia ya sasa mtu unakufa kwa hiyo kitu watu sasa hivi wanaogopa mafua kuliko ukimwi kwani ukifuata ushauri wa madaktari wako hamna atakayejuwa una maambukizi na kila kitu utafanya kama mwingine yeyote na utaishi vizuri mpaka pale muumba wako atakapo kuchukua kwa niia aliyokupangia thats why usi mujudge mtu kutokana na mwonekano wake.
 
Haya sawa. Harusi ni tarehe 30 β€˜Oktomba’.

Zingatia mwezi hapo πŸ˜‰.

Yeeey and Faki yuuu.....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

I live this month Oktomba....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Ni mtamuu haswa ukisindikizwa na mchuzi wa Nyani, naukunywa woooteee aaaammmmm nakuufyonza mchuzi woote fyuuufyuuuu....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Halafu uje umevaa attire ya Albert Tomba...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Monkey Pie Ngabuu Jabuuuu.....πŸ˜‹πŸ˜‹

Lacostee Lacosteeee.....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…