Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ni kweli kabisa.Wewe umekariri hizi za msaada! Nina dada yangu anameza tangu miaka ya tisini na moja. Alipewa na mzungu mmoja hivi akaamua awe anamlipia hizo dawa mpaka leo anapata za bure na anadunda