TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Mkuu kuna species nyiing sana za hawa viumbe. Ukiwa kwenye grid na ukaanza kutumia dozi huwa wadudu wanakua neutralized harakati zao kwenye mfumo wa damu, sasa ikiishaonje tena ukaingiza wengine maana yake unaanzisha harakat mpyaaaaa hapo gaza kama za hezobollah , wakat hamas walishatulizwa so Israel hakuachi hakyanani kaz inaanza upya, mtifuano kwenda mbele lazima ukate moto
Pamoja na comment yako kuwa ya kiutani zaidi lakini huo ndio ukweli wenyewe.
 

Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.

Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mtangazaji mwenzake, Maulid Kitenge, kupitia mtandao wa X, Dida alikuwa amelazwa Hospitalini hapo baada ya kuugua.
RIP Dida. Gone so young and still beatiful. We'll miss you so much dear.
 
Uko sahihi kabisa na huyo kijana yuko sahihi mno ni kazi inayohitaji 💯kujitolea Cha msingi asiache maana kufanya hivyo ni kujipa death sentence
Ni kweli ukitumia kwa utaratibu hufika sehem na kuona vidudu havipo na Dr wake wakijiridhisha nadhani huwa wanarekebishiwa dozi Kuna namna huwa inarahisisha mambo
Haya Maisha Katili Sana Mkuu kuna kabinti ka 2000 ukimuona alivyonawiri huwezi Amini kama Anameza pipi Alizaliwa Nao So Sad
 
Na zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.
Wabishi hao.
Hizi za kila mwezi ni huku kwetu Mkuu wangu, sasa hivi kuna dozi unapewa inakaa miezi 6 na baadae wameambiwa watakuwa wanapata sindano moja kwa mwaka, lakini ni kwa watu waliofanyiwa vipimo na ikaonekana wako vizuri kiafya pamoja na kuwa waathilika.
Pia hata wanaotumia dozi ya kila siku ukitumia vizuri kwa muda mrefu na ikaonekana cd4 zako zinaongezeka kwa kiwango cha juu basi uwezekano wa kusimamishiwa dozi ya siku upo kwa muda ambao madaktari wako wataona unafaa.Nimefanya kazi na mradi uliokuwa una deal na hizo mambo chini ya ufadhiri wa global fund so kuna kitu nilijifunza.
Nimeshangaa sana dunia ya sasa mtu unakufa kwa hiyo kitu watu sasa hivi wanaogopa mafua kuliko ukimwi kwani ukifuata ushauri wa madaktari wako hamna atakayejuwa una maambukizi na kila kitu utafanya kama mwingine yeyote na utaishi vizuri mpaka pale muumba wako atakapo kuchukua kwa niia aliyokupangia thats why usi mujudge mtu kutokana na mwonekano wake.
 
Haya sawa. Harusi ni tarehe 30 ‘Oktomba’.

Zingatia mwezi hapo 😉.

Yeeey and Faki yuuu.....😆😆😆😆

I live this month Oktomba....😋😋😋😋

Ni mtamuu haswa ukisindikizwa na mchuzi wa Nyani, naukunywa woooteee aaaammmmm nakuufyonza mchuzi woote fyuuufyuuuu....😋😋😋😆😆😆😆😆.

Halafu uje umevaa attire ya Albert Tomba...😅😅😅.

Monkey Pie Ngabuu Jabuuuu.....😋😋

Lacostee Lacosteeee.....😆😆😆.
 
Back
Top Bottom