TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Na ndio vifo vilivyojaa kwa sasa
Huku kwetu kuna case 7 za watu kufa usingizini tangu mwezi wa6 mpk huu
Hali inaogopesha
Mimi wiki iliyopita nimezika jamaa yangu niliokuloa nae, yeye alilala vizuri tu wala hakuwa anaumwa kuamka asubuhi mpk saa 5 tunastuka mbona jamaa hatoki leo kuna nini kuja kufatilia bado kalala ile kwenda kumuamsha mtu kashakuwa wa baridi kitambo tu.
 
Kuna watu wanatamani hata waguse tu shela then waachike.

Iandikwe kumbukumbu amewahi olewa....sasa huyu cute kupata ndoa ilikuwa ni kugusa tu.

Kama sikosei ni Mara Tatu kaolewa....Upumzike cute...tupo nyuma yako mpenz..njia yetu ni moja.Amiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…