Hakumpata padri tajiri akamuoaHuyu ndio aliolewa na yule shehe njaa wakaachana?
Unamaanisha nini?Pipi tuzimeze kwa umakini jamani
Nmemkumbuka hyo mtangazaji amewahi kupita kiss FM ya Mwanzasasa yule dogo alipigwagwa naye picha akiwa anaoga utupu, yule dogolasi alikuwa mtangazaji, itakuwaje kama ndio kulikuwa na pipi tena. ndugu kuweni makini haya maisha Mungu ametupatia tuyatunze.
[emoji108][emoji108]naf
Unga mada
Woteeee tutakufaaa, na Didaa ameniumaa mnoo.Siyo sawa kuandika vitu kama hivi, mtu anapokufa anakuwa amefunga kitabu chake cha hapa duniani mengine tumuachie mungu, siyo sawa kumsema mtu ambaye hawezi kujitetea, na unajisikiaje kusema mambo kama haya kwa marehemu, hivi angekuwa dada yako unheandika vitu kama hivi? Hii mitandao isotutoe utu wetu ,hata sisi tutakufa
I think you know the source! Vijana wanajilipua sanaVijana jitafakarini njia zenu.
Mtawaacha wazee nyie mtangulie
Alikuwa kama Azam TVAlijua kuigawa aise hana baya