TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Huyo wa ngwengwe basi alijichelewesha hakua serious na afya yake.....

Bibi yangu na alikua diabetic aliteseka sana mpaka kufariki especially a year prior

Babu zangu wote kisukari kiliwaondoa and one of them alipofuka

My mum is diabetic, na sio rahisi inamsumbua sana maana ana wenge mno kuzingatia masharti

Wa HIV wapo multiple na hakuna aliyeteseka kama hao

Wa cancer staki hata kumzungumzia, alidanganywa kwenye maombi huko akazembea kuanza tiba mapema, mzigo ulivyofika stage 4 kateseka sana mpaka mwishoni hakutaka tena tiba mixer kuuma meno hataki kula anataka afe akapumzike.... it's very sad.

UKIMWI IS PSYCHOLOGICAL, UKIVUKA HICHO KIKOMBE NADHANI UNAISHI KAWAIDA TU
Dah! Kansa na kisukari naviogopa sana
 
Hizi za kila mwezi ni huku kwetu Mkuu wangu, sasa hivi kuna dozi unapewa inakaa miezi 6 na baadae wameambiwa watakuwa wanapata sindano moja kwa mwaka, lakini ni kwa watu waliofanyiwa vipimo na ikaonekana wako vizuri kiafya pamoja na kuwa waathilika.
Pia hata wanaotumia dozi ya kila siku ukitumia vizuri kwa muda mrefu na ikaonekana cd4 zako zinaongezeka kwa kiwango cha juu basi uwezekano wa kusimamishiwa dozi ya siku upo kwa muda ambao madaktari wako wataona unafaa.Nimefanya kazi na mradi uliokuwa una deal na hizo mambo chini ya ufadhiri wa global fund so kuna kitu nilijifunza.
Nimeshangaa sana dunia ya sasa mtu unakufa kwa hiyo kitu watu sasa hivi wanaogopa mafua kuliko ukimwi kwani ukifuata ushauri wa madaktari wako hamna atakayejuwa una maambukizi na kila kitu utafanya kama mwingine yeyote na utaishi vizuri mpaka pale muumba wako atakapo kuchukua kwa niia aliyokupangia thats why usi mujudge mtu kutokana na mwonekano wake.
Wanakua na maambukizi mapya ndo changamoto ya watu wengi- muathirika ambaye hana maambukizi mapya ataishi mda mrefu sana
 
Bongo entertainment nzima imeoza:

1. Kibonde kaenda kwa gridi

2. Gadner kaenda kwa gridi

3. Ruge kaenda kwa gridi

4. CPwaa kaenda kwa gridi

5. Dida kaend akwa gridi

6. Mez B

7. DJ Steve B

8. Sam wa Ukweli

9. Nisher Bybeee


Kiukweli Bongo watu wengi wameungua na hawa wasanii wanareflect jamii zetu zilivyo! Watu maarufu wengi Bongo Dawa zinawasaidia. Na hivi wanavyopenda kubadilisha wapenzi kama sifa. Watapukutika kama kuku wakiendekeza mauzinzi.
 
Usimsahau Prof
6. Mez B

7. DJ Steve B

8. Sam wa Ukweli

9. Nisher Bybeee

10. Elisha Elia wa TBC.

11. Bikira wa Kisukuma.

Aisee! Ngoma inalamba vichwa Bongo hatariiii.
Kiukweli Bongo watu wengi wameungua na hawa wasanii wanareflect jamii zetu zilivyo! Watu maarufu wengi Bongo Dawa zinawasaidia. Na hivi wanavyopenda kubadilisha wapenzi kama sifa. Watapukutika kama kuku wakiendekeza mauzinzi.
 
Huyo wa ngwengwe basi alijichelewesha hakua serious na afya yake.....

Bibi yangu na alikua diabetic aliteseka sana mpaka kufariki especially a year prior

Babu zangu wote kisukari kiliwaondoa and one of them alipofuka

My mum is diabetic, na sio rahisi inamsumbua sana maana ana wenge mno kuzingatia masharti

Wa HIV wapo multiple na hakuna aliyeteseka kama hao

Wa cancer staki hata kumzungumzia, alidanganywa kwenye maombi huko akazembea kuanza tiba mapema, mzigo ulivyofika stage 4 kateseka sana mpaka mwishoni hakutaka tena tiba mixer kuuma meno hataki kula anataka afe akapumzike.... it's very sad.

UKIMWI IS PSYCHOLOGICAL, UKIVUKA HICHO KIKOMBE NADHANI UNAISHI KAWAIDA TU
Cancer achana nayo. Unapitia maumivu makali we acha tu. Tuliuguza dada na shemeji yangu. Ukiona mtu mzima analia kama mtoto jua anapitia maumivu makali. Inafikia stage hakuna dawa yoyote ya maumivu inasaidia.
 
Aahahahahahaaa nimecheka, ulishafika Iringa sio...!!???[emoji12]

Sasa Iringa vijijini kuna pombe hiyo kabla hawajaanza kuinywa wanafungwa kamba miguuni juu ya suruali na wakianza kuinywa wanatakiwa kuongea habari za huzuni tuu.

Wakiongea habari za kuchekesha tuu wanaharibu Aahahahhaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani hiyo pombe inalegeza nati/loki za namba2, hivyo ukicheka tuu basi unakuwa kanyelamumo...[emoji1][emoji1][emoji1], na ili isimwagike chini ukachafua mazingira ya kilabu cha pombe, ile kamba ya mguuni ndo itashikilia mzigo hadi ufike nyumbani ukaoge au uogeshwe na mkeo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa mtu akitaka kukukomoa anakununulia hiyo pombe halafu anakusimulia habari za kuchekesha, ukitaka usijiharibie ukimbie usisikie habari za kuchekesha maana yatatoka bila breki aahahahahahhahaaaaaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

My ribs looh...!!

Wee Jabuuu, unaniumiza mbavu zangu.

Halafu mimi siku ya harusi yetu ntavaa kanyelamumo ya kitenge....[emoji4].

Ntakwambia baadae lengo la hiyo attire.

Honey Bunny Nyaniiiiiiiii.....[emoji28][emoji28][emoji28].
Kijiji gani hicho
 
Hatari huu ugonjwa.Steve Nyerere nae anaishi asante kwa ARV.

Bongo entertainment nzima imeoza:

1. Kibonde kaenda kwa gridi

2. Gadner kaenda kwa gridi

3. Ruge kaenda kwa gridi

4. CPwaa kaenda kwa gridi

5. Dida kaend akwa gridi
Kama ruge amekwenda na Ukimwi maana yake nandy na billnass ni waathirika?
 
View attachment 3116262
UPDATES:
Mzee kasema kweli
Fungus kupanda kwenye ubongo ni HIV Stage 4
Zamani nikiona mtu anaandika speech yake kwenye kikaratasi hata kama ni ya dakika 1 nilikuwa sielewi maana yake....
Kaka wa marehemu kavunja 'code' anyway, ugonjwa ni ugonjwa tu hata fungus za kooni ni ugonjwa!
 
Zamani nikiona mtu anaandika speech yake...
Kuna Mwandishi wa gazeti moja la nchi Jirani...alinibananisha mahali nifanye naye interview kavukavu....niliruka ....nilimwambia alete Maswali yake nitayajibu kwa maandishi na nitayatuma kwake kwa njia ya email! Lengo akipotosha niwe na ushahidi lakini kikubwa ni kuepuka kujibu Maswali kwa mihemko mambo mazito!!! Waandishi Wana mbinu Fulani hivi za kukutia mihemko inategemea na speed yako kudhibiti hiyo mihemko
===
R.I.P Ms. Shaibu (Dida)
 
Vijana wengi wamepuputika kwa madhara ya hizi chanjo. Stroke kutokana na vibonge vya damu iliyoganda kugota katika mishipa ya ubongo inayosababisha upande wa pili wa ubongo kukosa oxygen.
Kwa hiyo zenye madhara ni hizi zilizoletwa kwetu. Maana sisi tulichomwa hizo sindano na balozi zote karibia kila mtu alichomwa ila zilitoka nje. Na hakuna mtu kapoteza maisha kwa sababu hiyo
 
Back
Top Bottom