Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Haahaaa hapana naendaga tu saloon kwa wacongo mana kuwa na wanaume waki Congo wanapendwa kulelewa na hawajatuliaOK..Mana zile Mu cute na Mubovu nikajua labda shem kaanza kukurithisha lafudhi yao
Halafu ubaya wa Dida akishakupiga ndoa tu anaanza kuchepuka, Ezden alijifanya kutrack simu ya Dida mbona aliomba poo mwenyewe, akaamua kuacha kila kitu mpaka funguo za gari akadandia bajaji na begi lake huyoo kasepa, inaelekea alimshukuru sana Mungu kuyajua yaliyokua yanaendelea kwenye mwili mwa mkewe.Naa sio kwa sura ile ya kutisha vile wanaume wengi wavivu wanapendwa kulelewa mno tu huyo dida mwenyewe hutoa had mtandao pendwa. Hao wanaume wapenda short cut yatawatokea puani
Teh teh..Wale hadi vipodozi mnashareHaahaaa hapana naendaga tu saloon kwa wacongo mana kuwa na wanaume waki Congo wanapendwa kulelewa na hawajatulia
Kweli edzen kijana handsome aka fall kwa dida sionagi jipya lake kuna kipindi alikua ana date kijana hajafikisha hata miaka ishirini ka siuharibifu huo nini na mkorogo wake huo ku date dida yataka moyoHalafu ubaya wa Dida akishakupiga ndoa tu anaanza kuchepuka, Ezden alijifanya kutrack simu ya Dida mbona aliomba poo mwenyewe, akaamua kuacha kila kitu mpaka funguo za gari akadandia bajaji na begi lake huyoo kasepa, inaelekea alimshukuru sana Mungu kuyajua yaliyokua yanaendelea kwenye mwili mwa mkewe.
Wanawake wa ki congo hawajichubui ila wanaume wanajua mikorogo had first class ndo wanaowatengenezea wadada wa mjini mikorogoTeh teh..Wale hadi vipodozi mnashare
Ezden hakutaka kupanda daladala ndio maana akavaa hili gumegume la ndoa, kila siku bi harusi wewe halafu mbaya anamtoto wa kike, sijui atajifunza nini huyo Samira maskini.Kweli edzen kijana handsome aka fall kwa dida sionagi jipya lake kuna kipindi alikua ana date kijana hajafikisha hata miaka ishirini ka siuharibifu huo nini na mkorogo wake huo ku date dida yataka moyo
Hakuna mchaga wa hivyo Dajane, huyu kapata jina tu ila asili yake itakuwa hukohuko bagamoyo wameona ni wa kwao ndio maana wamempa uenyekiti maana asili yao wavivu, lazima waongozwe na marioo. Ingekuwa mchaga kweli hata wasingekuta kafunga ofisi sanasana angekuwa anawaamsha wawahi kujitafutia riziki.Khaaaaa!!!!
Nyie mmenifika hapaaaaa
Mie ndo mana nikashangaa, mchaga gani mpenda kitonga?
Hahaaa umarioo mubaya mwanaume kupenda mteremko hatari sana yani mbaya zaidi dida alianzaga English course eti akashiriki big brother sipati picha angekuwaje huko mjengoni kwa bigEzden hakutaka kupanda daladala ndio maana akavaa hili gumegume la ndoa, kila siku bi harusi wewe halafu mbaya anamtoto wa kike, sijui atajifunza nini huyo Samira maskini.
huyo issah legevu sana na ana swaga zote za kiuswahili asilimia zote ndo mana alishinda bagamoyo uchaga imebaki jina
Lazma uzimie kama haujazoea kuchambwa.......
Hahahaaa muoga eeeh.....mie nitaomba msamaha yaishe aiseee......mana maneno yatakaa kichwani kila siku yatajirudia.Mimi nikiona unataka kunianza tu......nazimia...,,,
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yani huyu da jane mi nahis namjua...kunitag huku vepeeh dah nimecheka sana,mtoto ana maneno hatariHahahaha uka tutag wambea maarufu Ila mods muacheni da Jane bana ala!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] shkamoo da jane utafanya insta watu wahamie huku,wanyooshe mmoja mmoja hio ya wema bahati mbaya nilipitwa ila tupo pamoja..nipo na maji yangu natuliza kooWananionea kama nini.
Au kwa vile me mgeni?
ataua watoto wa watu kwa ngoma...ila vijana wa sasa wanapenda kulelewa wacha wafe tuHalafu ubaya wa Dida akishakupiga ndoa tu anaanza kuchepuka, Ezden alijifanya kutrack simu ya Dida mbona aliomba poo mwenyewe, akaamua kuacha kila kitu mpaka funguo za gari akadandia bajaji na begi lake huyoo kasepa, inaelekea alimshukuru sana Mungu kuyajua yaliyokua yanaendelea kwenye mwili mwa mkewe.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jamaniii nifah nifah niacheni nipike mie....kesho atakuchambia redioni sio kwa mineno hio walahi atakuwa kamind si kidg hukoHaya hayaaaaaa
Nimerudi sasa.
Wewe Dida wewe shabiki mwenzangu wa Yanga,enzi hizo 2011/12 tulikuwa tunakutana sana Magomeni hadi uwanja wa Taifa.....
Nilikuwa nakuchora tu bibi wewe!
Habari zako nilikuwa napewa na wale madalali wa magari pale Magomeni Mapipa Shibam na Chipolopolo.
Wamekunawa karibia ya wote...looooh!
Nilikuwa na hamu ya kukuchamba sana,nikawa nakosa nafasi.
Haya bibi wewe,nyota hiyo uliyo nayo nyota gani?
Ya kutongoza wanao wa kuwazaa mwenyewe?
Halafu unawabembelezea kavu kisha unawahonga magari.
Utongozwe kwa sura gani iliyokujaa kama kiboko?
Unawapata hao marioo tu.
Tena shukuru Mungu na hizo pesa za sembe umazonunulia mkorogo na kuhongea,la sivyo ungeolewa na Dildo.
Hakuna mwanaume ambaye hata angekutazama mara mbili.
Unajitia Dada wa mjini wakati hata makeup hujui kupaka.
Wanja kama mwanamwali wa kimakonde!
Kuvaa unajitahidi lakini kigodoro nacho kinakusaidia.
Sasa wewe si hodari wa kuchamba na huyo mwenzio Bi. Hindu,leo ni zamu yako.
Acha hashuo bibi wewe,kama una nyota tuoneshe bwana wa maana tena akutongoze yeye,sio ujitongozeshe na kujiolesha kama kawaida yako.
Wasalaam
Nifah
Marioo acha wafe tu aisee, hichi kizazi kikiendelea kuwepo ni kuongeza mashoga mjini, pata picha wanawake wenye hela wakigoma kuwachukua itakuaje? si watahamia kwa wanaume wenzao hakuna namna acha wafe.ataua watoto wa watu kwa ngoma...ila vijana wa sasa wanapenda kulelewa wacha wafe tu