Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Naa sio kwa sura ile ya kutisha vile wanaume wengi wavivu wanapendwa kulelewa mno tu huyo dida mwenyewe hutoa had mtandao pendwa. Hao wanaume wapenda short cut yatawatokea puani
Halafu ubaya wa Dida akishakupiga ndoa tu anaanza kuchepuka, Ezden alijifanya kutrack simu ya Dida mbona aliomba poo mwenyewe, akaamua kuacha kila kitu mpaka funguo za gari akadandia bajaji na begi lake huyoo kasepa, inaelekea alimshukuru sana Mungu kuyajua yaliyokua yanaendelea kwenye mwili mwa mkewe.
 
Kweli edzen kijana handsome aka fall kwa dida sionagi jipya lake kuna kipindi alikua ana date kijana hajafikisha hata miaka ishirini ka siuharibifu huo nini na mkorogo wake huo ku date dida yataka moyo
 
Ezden hakutaka kupanda daladala ndio maana akavaa hili gumegume la ndoa, kila siku bi harusi wewe halafu mbaya anamtoto wa kike, sijui atajifunza nini huyo Samira maskini.
 
Khaaaaa!!!!
Nyie mmenifika hapaaaaa
Mie ndo mana nikashangaa, mchaga gani mpenda kitonga?
Hakuna mchaga wa hivyo Dajane, huyu kapata jina tu ila asili yake itakuwa hukohuko bagamoyo wameona ni wa kwao ndio maana wamempa uenyekiti maana asili yao wavivu, lazima waongozwe na marioo. Ingekuwa mchaga kweli hata wasingekuta kafunga ofisi sanasana angekuwa anawaamsha wawahi kujitafutia riziki.
 
Ezden hakutaka kupanda daladala ndio maana akavaa hili gumegume la ndoa, kila siku bi harusi wewe halafu mbaya anamtoto wa kike, sijui atajifunza nini huyo Samira maskini.
Hahaaa umarioo mubaya mwanaume kupenda mteremko hatari sana yani mbaya zaidi dida alianzaga English course eti akashiriki big brother sipati picha angekuwaje huko mjengoni kwa big
 
huyo issah legevu sana na ana swaga zote za kiuswahili asilimia zote ndo mana alishinda bagamoyo uchaga imebaki jina

Na ndio maana wamemkubali, na alivyo bwege utakuta kwenye cv yake anajitambulisha mwenyekiti wa kitongoji bagamoyo, looh, hata kingwendu na uswahili wake hakushinda ubunge maana hana asili ya umarioo, bora wachaga wabadilishane wao wamchukue kingwendu, issa abaki bagamoyo.
 
Hahahaha uka tutag wambea maarufu Ila mods muacheni da Jane bana ala!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yani huyu da jane mi nahis namjua...kunitag huku vepeeh dah nimecheka sana,mtoto ana maneno hatari
 
Wananionea kama nini.
Au kwa vile me mgeni?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] shkamoo da jane utafanya insta watu wahamie huku,wanyooshe mmoja mmoja hio ya wema bahati mbaya nilipitwa ila tupo pamoja..nipo na maji yangu natuliza koo
 
Haya hayaaaaaa
Nimerudi sasa.
Wewe Dida wewe shabiki mwenzangu wa Yanga,enzi hizo 2011/12 tulikuwa tunakutana sana Magomeni hadi uwanja wa Taifa.....
Nilikuwa nakuchora tu bibi wewe!

Habari zako nilikuwa napewa na wale madalali wa magari pale Magomeni Mapipa Shibam na Chipolopolo. Wamekunawa karibia ya wote...looooh!

Nilikuwa na hamu ya kukuchamba sana,nikawa nakosa nafasi.
Haya bibi wewe,nyota hiyo uliyo nayo nyota gani?
Ya kutongoza wanao wa kuwazaa mwenyewe?
Halafu unawabembelezea kavu kisha unawahonga magari.

Utongozwe kwa sura gani iliyokujaa kama kiboko?
Unawapata hao marioo tu. Tena shukuru Mungu na hizo pesa za sembe unazonunulia mkorogo na kuhongea,la sivyo ungeolewa na Dildo. Hakuna mwanaume ambaye hata angekutazama mara mbili.

Unajitia Dada wa mjini wakati hata makeup hujui kupaka.
Wanja kama mwanamwali wa kimakonde! Kuvaa unajitahidi lakini kigodoro nacho kinakusaidia.

Sasa wewe si hodari wa kuchamba na huyo mwenzio Bi. Hindu,leo ni zamu yako. Acha hashuo bibi wewe,kama una nyota tuoneshe bwana wa maana tena akutongoze yeye,sio ujitongozeshe na kujiolesha kama kawaida yako.

Wasalaam,
Nifah..
 
Halafu ubaya wa Dida akishakupiga ndoa tu anaanza kuchepuka, Ezden alijifanya kutrack simu ya Dida mbona aliomba poo mwenyewe, akaamua kuacha kila kitu mpaka funguo za gari akadandia bajaji na begi lake huyoo kasepa, inaelekea alimshukuru sana Mungu kuyajua yaliyokua yanaendelea kwenye mwili mwa mkewe.
ataua watoto wa watu kwa ngoma...ila vijana wa sasa wanapenda kulelewa wacha wafe tu
 
Haya hayaaaaaa
Nimerudi sasa.
Wewe Dida wewe shabiki mwenzangu wa Yanga,enzi hizo 2011/12 tulikuwa tunakutana sana Magomeni hadi uwanja wa Taifa.....
Nilikuwa nakuchora tu bibi wewe!

Habari zako nilikuwa napewa na wale madalali wa magari pale Magomeni Mapipa Shibam na Chipolopolo.
Wamekunawa karibia ya wote...looooh!

Nilikuwa na hamu ya kukuchamba sana,nikawa nakosa nafasi.
Haya bibi wewe,nyota hiyo uliyo nayo nyota gani?
Ya kutongoza wanao wa kuwazaa mwenyewe?
Halafu unawabembelezea kavu kisha unawahonga magari.

Utongozwe kwa sura gani iliyokujaa kama kiboko?
Unawapata hao marioo tu.
Tena shukuru Mungu na hizo pesa za sembe umazonunulia mkorogo na kuhongea,la sivyo ungeolewa na Dildo.
Hakuna mwanaume ambaye hata angekutazama mara mbili.

Unajitia Dada wa mjini wakati hata makeup hujui kupaka.
Wanja kama mwanamwali wa kimakonde!
Kuvaa unajitahidi lakini kigodoro nacho kinakusaidia.

Sasa wewe si hodari wa kuchamba na huyo mwenzio Bi. Hindu,leo ni zamu yako.
Acha hashuo bibi wewe,kama una nyota tuoneshe bwana wa maana tena akutongoze yeye,sio ujitongozeshe na kujiolesha kama kawaida yako.
Wasalaam
Nifah
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jamaniii nifah nifah niacheni nipike mie....kesho atakuchambia redioni sio kwa mineno hio walahi atakuwa kamind si kidg huko
 
ataua watoto wa watu kwa ngoma...ila vijana wa sasa wanapenda kulelewa wacha wafe tu
Marioo acha wafe tu aisee, hichi kizazi kikiendelea kuwepo ni kuongeza mashoga mjini, pata picha wanawake wenye hela wakigoma kuwachukua itakuaje? si watahamia kwa wanaume wenzao hakuna namna acha wafe.
 
Ahahahahah Shikamoo Da Jane Kwa kweli ati "pua kubwa Kama uwanja wa Gymkhana " na ile ya Dida ati "sura Kama airbag ya gari " ngoja na Mimi niongeze kidogo kwako wewe Dida "viguu Kama kona ya mtumbwi" ahahahahhahhhhhah kichambo chataka moyo Jamani
 
Back
Top Bottom