Hahahahaaaa huyu bibie nilikuwa na hamu nae sana.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] jamaniii nifah nifah niacheni nipike mie....kesho atakuchambia redioni sio kwa mineno hio walahi atakuwa kamind si kidg huko
Amesikia, anajitia ufahamu asokuwa nao.Haya hayaaaaaa
Nimerudi sasa.
Wewe Dida wewe shabiki mwenzangu wa Yanga,enzi hizo 2011/12 tulikuwa tunakutana sana Magomeni hadi uwanja wa Taifa.....
Nilikuwa nakuchora tu bibi wewe!
Habari zako nilikuwa napewa na wale madalali wa magari pale Magomeni Mapipa Shibam na Chipolopolo.
Wamekunawa karibia ya wote...looooh!
Nilikuwa na hamu ya kukuchamba sana,nikawa nakosa nafasi.
Haya bibi wewe,nyota hiyo uliyo nayo nyota gani?
Ya kutongoza wanao wa kuwazaa mwenyewe?
Halafu unawabembelezea kavu kisha unawahonga magari.
Utongozwe kwa sura gani iliyokujaa kama kiboko?
Unawapata hao marioo tu.
Tena shukuru Mungu na hizo pesa za sembe unazonunulia mkorogo na kuhongea,la sivyo ungeolewa na Dildo.
Hakuna mwanaume ambaye hata angekutazama mara mbili.
Unajitia Dada wa mjini wakati hata makeup hujui kupaka.
Wanja kama mwanamwali wa kimakonde!
Kuvaa unajitahidi lakini kigodoro nacho kinakusaidia.
Sasa wewe si hodari wa kuchamba na huyo mwenzio Bi. Hindu,leo ni zamu yako.
Acha hashuo bibi wewe,kama una nyota tuoneshe bwana wa maana tena akutongoze yeye,sio ujitongozeshe na kujiolesha kama kawaida yako.
Wasalaam
Nifah
Haahaaa, anajidai mgumu eeeeh?! ajidai kuringishia tu mikono na sura ila ajue hawa hawa anowaringia wanammaliza liquid, maana si kwa mpangano huo ataishiwa mtelezo kabla ya siku zake, bora ukae na mmoja anajua kabisa aguse wapi mambo yawe swafi si kila siku kitwangio kipya.View attachment 336257[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] haya wambea wenzangu kichambo kinwanza kuwasha majibu hayo....nacheka hapa
Majey tumuweke kiporo shoga.Amesikia, anajitia ufahamu asokuwa nao.
Na hao wanaume zake akina Ommy crazy. ...kuleta mashindano ya michambo.
We Majey, kama Maisha Club pamekushinda usituletee usengerema wako, Ndio nini kutuletea Dida na Riyama ili uwashindanishe mashindano ya kuchamba?
Kama imekushinda tupe wadau tuiendeshe, nasikia unadanganya kuwa Maisha Club yako, nyoooooooooo, kidevu kirefu kama kona ya Magomeni.
Utawapata hao hao akina Lulu, watoa kafara.
Ngoja utolewe kafara, mie, Hamisa na Zuhura lazima tuje na ndizi msibani kuulia ubwabwa wako.
Na kuwadi wako Muna lazima umlale, nakujua wewe.
Nyie ndo mnafanya mvua ilikuwa imesimama.
Haya, nawe Dida unadhani mganga wako hatumjui, kwa taarifa yako tunamjua sana, anaitwa Babu anakaa Magomeni, najua mpaka nyumbani kwake.
Ukifika pale hushuki kwenye gari....nyau we.
kwa taarifa yako, siku unajuja pale....nilikuwa nimekaa chini ya vile vijumba kwenye vile viti vya kukunja
Upo Nyonyo?
hahaha.....uso mwekunduu afu hata haeleweki sipati picha *** utakuaje..ila hawa mamarioo wana roho ngumu haswa si kidg..hapo ni kapaniki hatari mbaya hajui anachambwa na nani basi ndio anazidi kifura teh teh anashindwa hata amtag nani...nimeamini raha ya kichambo uchambwe na watu usiowajua[emoji136] [emoji136] [emoji136]Haahaaa, anajidai mgumu eeeeh?! ajidai kuringishia tu mikono na sura ila ajue hawa hawa anowaringia wanammaliza liquid, maana si kwa mpangano huo ataishiwa mtelezo kabla ya siku zake, bora ukae na mmoja anajua kabisa aguse wapi mambo yawe swafi si kila siku kitwangio kipya.
Ubuyu wenye viwango vyote.Huyu kiboko bwana.
Afadhali anatuletea ubuyu classic hatuendi Insta tena.
JF ndio mambo yote.
hahaha.....uso mwekunduu afu hata haeleweki sipati picha * utakuaje..ila hawa mamarioo wana roho ngumu haswa si kidg..hapo ni kapaniki hatari mbaya hajui anachambwa na nani basi ndio anazidi kifura teh teh anashindwa hata amtag nani...nimeamini raha ya kichambo uchambwe na watu usiowajua[emoji136] [emoji136] [emoji136]
Magomeni ya Bagamoyo shoga, kwa Babu Issa, naona alivyoona mganga wake anaitwa Issa, nae akajiapiza kutafuta bwana mwenye jina hilo.Majey tumuweke kiporo shoga.
Haya huko Magomeni kwa Mganga Magomeni ipi?
Looooooh!
Uso mwekundu kama nyama ya kichanga kilichokutwa tumboni kwa ng'ombe baada ya kuchinjwa.hahaha.....uso mwekunduu afu hata haeleweki sipati picha * utakuaje..ila hawa mamarioo wana roho ngumu haswa si kidg..hapo ni kapaniki hatari mbaya hajui anachambwa na nani basi ndio anazidi kifura teh teh anashindwa hata amtag nani...nimeamini raha ya kichambo uchambwe na watu usiowajua[emoji136] [emoji136] [emoji136]
haha jana mimi nilipanic kucheki simuoni nikasema au nimekula block..kumbe anabadili badili majina..mcheki sasahivi karudi kwa kichwapanzi hio hioUso mwekundu kama nyama ya kichanga kilichokutwa tumboni kwa ng'ombe baada ya kuchinjwa.
Na bado,leo atapanic kwelikweli.
Shoga kichwapanzi anatumia ID gani insta sasa hivi?
Simpati jamaniiiii
Namiss umbea wa Mange [emoji25] [emoji25]
Nilidhani Magomeni mjini shoga angu.Magomeni ya Bagamoyo shoga, kwa Babu Issa, naona alivyoona mganga wake anaitwa Issa, nae akajiapiza kutafuta bwana mwenye jina hilo.
Unakijua chuo cha Marian, cha ufundi?
Nyuma yake ndo chimbo la babu Issa.
Bagamoyo nzima wanamjua.
Mie naenda sana kwa babu Issa,ila kwa mambo yangu, nataka kupandishwa cheo, maana hamkawii kunigeuzia kibao nikachambwa mimi......hahahah
mi namtaka lulu mange huyo kichwapanzi kashamuweka kwapani....siku ya lulu ntakesha na ufupi wake ka nukta...Siku ya Lulu au Mange tutakeshaaaa.
Huhuhuuuu jukwaa limekuwa tamu ghafla.
Mimi nishapungua kilo,nimehaha hatari.haha jana mimi nilipanic kucheki simuoni nikasema au nimekula block..kumbe anabadili badili majina..mcheki sasahivi karudi kwa kichwapanzi hio hio
Kumbe tupo sawa?mi namtaka lulu mange huyo kichwapanzi kashamuweka kwapani....siku ya lulu ntakesha na ufupi wake ka nukta...