Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Tena shoga nina file zima la kisa cha huyo Seki na kifo chake.
Hilo nitalitoa exclusively siku ya kichambo chake.
Mtabaki midomo wazi,mimi nilipoambiwa nililia kutwa nzima.
Mtoto mbaya yule?
Uwiii da Jane mlete lulu fastaa pls
 
Hahaha...i dont who this so called "dida" is but honestly, i have enjoyed every bit of this thread.
Umetisha...keep it coming.
 
Wee watake radhi warombo, mrombo gani wa kumkojolesha huyu mwanamke anaebadili mwanaume kila kukicha? Kina mama clareee wenyewe wanalilia hawapati, aje ampe mzaramo Dida?! hapana huyu issa lazima ni wa bagammoyo huko huko.
Hivi hujawasikia wanawake wa Rombo wanavyo 'import' wanaume kutoka Kenya?
 
Limechoma haswa. Anavyomsifia huyo mwanaume na Edzen alimsifia hivyo hivyo lkn ndoa haikumaliza hata mwaka. Let us wait and see.
Ila kanipaisha....naamini wapambe wake wako humu, lah!, kaperuzi.
Chezea DaJane mie, rais wa wasasambuaji kwa Manjunju!!!
nsalu, nilisema mie, wapambe wake wako humu.
Naona wamemfikishia ujumbe nyakanga wao, mwenye sura chachu kama anakamuliwa jipu.
Hahaaaaaaaa....Dida, hata hujanikera bado.
Huyo baba Abuu kito**I dunia nzima,
afu nasikia ni ngumbalu, ila wote mmekutana.....pwagu na pwaguzi.

Issa, mzee wa kitonga.
Dume zima unalelewa ..
Yaani wewe sijui mchaga wa wapi aisee babaangu.
Mchaga analelewa?
Muulize Idriss yanayomkuta sa hivi, siri hadharani.

Issa, afu nakutuma kwa Dida, mwambie aache kumuuza mtotowamama.
Uchoko bila viwalo na mvuto havinogi.
 
Ila kanipaisha....naamini wapambe wake wako humu, lah!, kaperuzi.
Chezea DaJane mie, rais wa wasasambuaji kwa Manjunju!!!
nsalu, nilisema mie, wapambe wake wako humu.
Naona wamemfikishia ujumbe nyakanga wao, mwenye sura chachu kama anakamuliwa jipu la kinena.
Hahaaaaaaaa....Dida, hata hujanikera bado.
Huyo baba Abuu kitombi dunia nzima,
afu nasikia ni ngumbalu, ila wote mmekutana.....pwagu na pwaguzi.

Issa, mzee wa kitonga.
Dume zima unalelewa ndo mwanzo wa kuliwa tigo.
Yaani wewe sijui mchaga wa wapi aisee babaangu.
Mchaga analelewa?
Mwisho wake utakuja kupakatwa.
Muulize Idriss yanayomkuta sa hivi, siri hadharani.

Issa, afu nakutuma kwa Dida, mwambie aache kumuuza mtotowamama.
Uchoko bila viwalo na mvuto havinogi.
Heheeeee halafu watu wanamsifu kwa kichambo!
Kichambo gani kile kwa mfano?
Kajibu huku anatetemeeeeeka.
Kama ule ndio uchambaji basi nakupa taji DaJane....

Ila ukweli wako umeupata.
Dida wewe MBAYAAAAAAAAA!
Hapo una hela tu bado unatisha,ungekuwa huna je?
Si tungekutumia kama sanamu la kutisha watoto?
 
Ila Dida jamani ndio nini kujiolesha?
Au kisa unaitwa Hadija basi ndio unajiolesha kama Bi. Hadija alivyojiozesha kwa Mtume?
Wenzio ndoa yao ilikuwa ya baraka na mapenzi tele,ila wewe kazi kuachwa hii ndoa ya 4/5!
Halafu bado unajisifu?
Na huyu unayetaka kujiozesha safari hii tunakupa mwaka tu,chaliiiiiiiiii!
Yetu macho.
Huna cha kumkeep mwanaume.
Nao wana roho ngumu!
Sijui ukivua nguo unakuwaje,kama na nguo zako hizo na makeup juu bado unatisha.

Japo ni dhambi ila kafanye surgery ya uso,sio kwa kuvimbiana huko kama kiboko dume!
 
HUU UMBEA NIMEKUTA UMEPOA JAMAN!! KHAA MJI HUU UNA MAMBO NYAKUNYAKU KILA KONA
ASANTE SANA CUZOO..!!NGOJA NISOME NENO MOJAMOJA HUKU NASHUSHIA KAHAWA
Umenikeraje cuzoo?
Nakuita tokea jana sikuoni.....
Siku ya ubuyu wa Lulu nitakutafuta kwa panga hadi nikulete ukiwa wa moto.
Enjoy mam,na hiki kiubaridi cha leo basi burudani tupu.
 
Umenikeraje cuzoo?
Nakuita tokea jana sikuoni.....
Siku ya ubuyu wa Lulu nitakutafuta kwa panga hadi nikulete ukiwa wa moto.
Enjoy mam,na hiki kiubaridi cha leo basi burudani tupu.
Jamanii cuzooo nisamehee si unajua tena mambo ya weekend!! sikuchungulia humu....naomba siku wa ubuyu wa lulu upige simu kabisa nisipopokea niibukie job...hahahah raha ya ubuyu ule ukiwa ma motrooooooooooooooo!! hahahha
 
Ila Dida jamani ndio nini kujiolesha?
Au kisa unaitwa Hadija basi ndio unajiolesha kama Bi. Hadija alivyojiozesha kwa Mtume?
Wenzio ndoa yao ilikuwa ya baraka na mapenzi tele,ila wewe kazi kuachwa hii ndoa ya 4/5!
Halafu bado unajisifu?
Na huyu unayetaka kujiozesha safari hii tunakupa mwaka tu,chaliiiiiiiiii!
Yetu macho.
Huna cha kumkeep mwanaume.
Nao wana roho ngumu!
Sijui ukivua nguo unakuwaje,kama na nguo zako hizo na makeup juu bado unatisha.

Japo ni dhambi ila kafanye surgery ya uso,sio kwa kuvimbiana huko kama kiboko dume!

Naona amepanikije huko insta, kumbe yupo huku eeh....da jen hebu tuletee kichambo cha mange kimambo bhana, siku hiyo ntakuwa nasoma kichambo huku nakata uno kama chura wa snura.
 
Umenikeraje cuzoo?
Nakuita tokea jana sikuoni.....
Siku ya ubuyu wa Lulu nitakutafuta kwa panga hadi nikulete ukiwa wa moto.
Enjoy mam,na hiki kiubaridi cha leo basi burudani tupu.
Jamanii cuzooo nisamehee si unajua tena mambo ya weekend!! sikuchungulia humu....naomba siku wa ubuyu wa lulu upige simu kabisa nisipopokea niibukie job...hahahah raha ya ubuyu ule ukiwa ma motrooooooooooooooo!! hahahha

Nyie wambea nyie, ila umbea afya ya mwili na ubongo.
Hahahhhahha.....mwambieni na nsalu apashe moto kabisa ile ngozi ya kuwambia kile kigoma cha uruguay
 
naona amepanikije huko insta, kumbe yupo huku eeh....da jen hebu tuletee kichambo cha mange kimambo bhana, siku hiyo ntakuwa nasoma kichambo huku nakata uno kama chura wa snura.
Snura nae ana balaa jamani.
Hivi lile kalio haliguswi kweli lile?
Maana naona kama silielewi
 
Snura nae ana balaa jamani.
Hivi lile kalio haliguswi kweli lile?
Maana naona kama silielewi
Haligusijwe shoga angu?
Heheheeee umbea unaniwasha hapa.
Snura yuko vizuri,ni hivyo tu kajiharibu na mkorogo.
Mwanaume mstaarabu hawezi chezea ile ngozi iliyooza kwa mkorogo japo ana buno la haja.
Sijui nani alimdanganya masikini,alikuwa mzuri tu na ngozi yake....loooh!
 
Back
Top Bottom