Lemar ni kiungo na martial ni mshambuliajiHuyo Lemar hana uwezo wa Martial
Umemaliza kila kitu mkuuABSOLUTELY
Tuumie nn wakati Pogba yupoMan u and arselona fans mnaumia ee
Mlitaka naye awepo ndio maana mapovu kila konaTuumie nn wakati Pogba yupo
France mapema sana wanarudi home.
Umewaza kama mimi bossRabiot, Karim Benzema, Laporte ni makosa makubwa aliyoyafnya kocha. payet nilisikia kama ameumia.
Lakini hao kina Martial na lacazette ni vilaza tu. hata Kante na Pogba nao mizigo tu. Bora hata Sissoko angelieenda.
Lemar ni Kiungo namba ngapi?Lemar ni kiungo na martial ni mshambuliaji
Plus MatuidiLemar ni Kiungo namba ngapi?
Ikiwa kwenye kikosi kocha kataja midfielders
Nzonzi
Kante
Toriso
Pogba
Kweli boss martial na rabiot wameniuma mnoPlus Matuidi
Kuna posibility kubwa sana kama France hawatafanya vizuri michuano hii huenda Deschamps akafukuzwa kaziKweli boss martial na rabiot wameniuma mno
Argentina
Germany
Spain
France
Belgium
Croatia
Mmoja wao ataondoka na CUP
Mkuu umeongea vizuri ila binafsi nimekua nikimfuatilia deschamps jamaa kiukweli ana misimamo yake especially linapokuja suala la tactics,ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya ukocha,sema bahati ndio inamuachaga nyuma,yaliyotokea kwa martial ni sawa yaliyotokea ujerumani kwa Gotze,martial kwa makocha wengi anaweza akakosa namba,sema kwakua yupo kwenye timu ya mashabiki wenye kupenda vyao tu ndio mana unasikia kelele zote hizi,laiti mngepata kumfatilia fekir,mbape na thauvin lazima mngekubaliana na deschamps,kwa upande wa giroud,france ina miss kariba ya huyu jamaa ana mu offer kocha option nyingi kwa kubadilisha mashambulizi,pia ana rekodi yake ya ufaransa sio mchezo!Nimeangalia kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kilichoitwa kwa ajili ya world cup, binafsi sijaridhishwa na maamuzi kadhaa yaliyofanywa na Kocha wa timu hiyo, Didier Deschamps.
Kwanza, hajamuita Winga hatari na mwenye kasi Anthony Martial. Wote ni mashahidi hakuna ambaye hajui uwezo wa Martial katika wing ya kushoto ambaye ana mabao 21 na assist 13 katika michunao yote msimu huu. Kocha amemuita Thomas Lemar ambaye hakuwa na msimu mzuri kikosini Monaco.
Pili, amemuacha Kurzawa ambaye ni full back wa kushoto wa PSG akaja kumuita Ben Mendy ambaye ndio kwanza ametoka majeruhi ya muda mrefu. Hapa amefanya gambling.
Tatu, sijajua ni kwanini amemuacha fundi wa mpira Adrien Rabiot na kujaza watumia nguvu kama akina Matuidi na Kante.
Lacazette nae hajajumuishwa sijui ni kwanini, badala yake ameitwa Super Olivier Giroud.
Nimalizie tu, japo Anthony Martial hakupata muda wa kutosha klabuni chini Jose Mourinho, ila namba hazidanganyi kwa dakika chache alizocheza amefunga magoli mengi na kutengeneza assist za kutosha, Martial alistahili kuitwa timu ya Taifa, kwakuwa hao walioitwa sioni wa kumuweka benchi.
View attachment 780561
Deschamps ni mmoja ya makocha wabovu huenda yakawa mashindano yake ya mwisho kufundisha FranceMkuu umeongea vizuri ila binafsi nimekua nikimfuatilia deschamps jamaa kiukweli ana misimamo yake especially linapokuja suala la tactics,ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya ukocha,sema bahati ndio inamuachaga nyuma,yaliyotokea kwa martial ni sawa yaliyotokea ujerumani kwa Gotze,martial kwa makocha wengi anaweza akakosa namba,sema kwakua yupo kwenye timu ya mashabiki wenye kupenda vyao tu ndio mana unasikia kelele zote hizi,laiti mngepata kumfatilia fekir,mbape na thauvin lazima mngekubaliana na deschamps,kwa upande wa giroud,france ina miss kariba ya huyu jamaa ana mu offer kocha option nyingi kwa kubadilisha mashambulizi,pia ana rekodi yake ya ufaransa sio mchezo!
Bora mkuu ungesema mtu kama rabiot na benzema,lakini sio martial,huyo martial ni kama sanchez au iniesta yani anavutia kumfikilia lakini havutii kwenye mfumo wa makocha wengi,benzema naamini angeongeza kitu kutokana na experience ya mashindano makubwa na pia jamaa si haba uwezo anao japo anakosa magoli sana lakini laiti akizungukwa na mtu kama pogba,Tolliso,Lemar,au mbappe ana weza kuwa bora sana kuliko mategemeo ya wengi....Rabiot ungekuwa mbadala mzuri katika upande wa kiungo pia ni mzuri kumiliki mpira na kugawa pass...Nimeangalia kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kilichoitwa kwa ajili ya world cup, binafsi sijaridhishwa na maamuzi kadhaa yaliyofanywa na Kocha wa timu hiyo, Didier Deschamps.