Didier Deschamps kwanini umemuacha Anthony Martial?

Rabiot, Karim Benzema, Laporte ni makosa makubwa aliyoyafnya kocha. payet nilisikia kama ameumia.

Lakini hao kina Martial na lacazette ni vilaza tu. hata Kante na Pogba nao mizigo tu. Bora hata Sissoko angelieenda.
 
Umewaza kama mimi boss
 
Nimeangalia kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kilichoitwa kwa ajili ya world cup, binafsi sijaridhishwa na maamuzi kadhaa yaliyofanywa na Kocha wa timu hiyo, Didier Deschamps.

Kwanza, hajamuita Winga hatari na mwenye kasi Anthony Martial. Wote ni mashahidi hakuna ambaye hajui uwezo wa Martial katika wing ya kushoto ambaye ana mabao 21 na assist 13 katika michunao yote msimu huu. Kocha amemuita Thomas Lemar ambaye hakuwa na msimu mzuri kikosini Monaco.

Pili, amemuacha Kurzawa ambaye ni full back wa kushoto wa PSG akaja kumuita Ben Mendy ambaye ndio kwanza ametoka majeruhi ya muda mrefu. Hapa amefanya gambling.

Tatu, sijajua ni kwanini amemuacha fundi wa mpira Adrien Rabiot na kujaza watumia nguvu kama akina Matuidi na Kante.
Lacazette nae hajajumuishwa sijui ni kwanini, badala yake ameitwa Super Olivier Giroud.

Nimalizie tu, japo Anthony Martial hakupata muda wa kutosha klabuni chini Jose Mourinho, ila namba hazidanganyi kwa dakika chache alizocheza amefunga magoli mengi na kutengeneza assist za kutosha, Martial alistahili kuitwa timu ya Taifa, kwakuwa hao walioitwa sioni wa kumuweka benchi.

View attachment 780561
Mkuu umeongea vizuri ila binafsi nimekua nikimfuatilia deschamps jamaa kiukweli ana misimamo yake especially linapokuja suala la tactics,ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya ukocha,sema bahati ndio inamuachaga nyuma,yaliyotokea kwa martial ni sawa yaliyotokea ujerumani kwa Gotze,martial kwa makocha wengi anaweza akakosa namba,sema kwakua yupo kwenye timu ya mashabiki wenye kupenda vyao tu ndio mana unasikia kelele zote hizi,laiti mngepata kumfatilia fekir,mbape na thauvin lazima mngekubaliana na deschamps,kwa upande wa giroud,france ina miss kariba ya huyu jamaa ana mu offer kocha option nyingi kwa kubadilisha mashambulizi,pia ana rekodi yake ya ufaransa sio mchezo!
 
Deschamps ni mmoja ya makocha wabovu huenda yakawa mashindano yake ya mwisho kufundisha France
 
Nimeangalia kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kilichoitwa kwa ajili ya world cup, binafsi sijaridhishwa na maamuzi kadhaa yaliyofanywa na Kocha wa timu hiyo, Didier Deschamps.

Kwanza, hajamuita Winga hatari na mwenye kasi Anthony Martial. Wote ni mashahidi hakuna ambaye hajui uwezo wa Martial katika wing ya kushoto ambaye ana mabao 21 na assist 13 katika michunao yote msimu huu. Kocha amemuita Thomas Lemar ambaye hakuwa na msimu mzuri kikosini Monaco.

Pili, amemuacha Kurzawa ambaye ni full back wa kushoto wa PSG akaja kumuita Ben Mendy ambaye ndio kwanza ametoka majeruhi ya muda mrefu. Hapa amefanya gambling.

Tatu, sijajua ni kwanini amemuacha fundi wa mpira Adrien Rabiot na kujaza watumia nguvu kama akina Matuidi na Kante.
Lacazette nae hajajumuishwa sijui ni kwanini, badala yake ameitwa Super Olivier Giroud.

Nimalizie tu, japo Anthony Martial hakupata muda wa kutosha klabuni chini Jose Mourinho, ila namba hazidanganyi kwa dakika chache alizocheza amefunga magoli mengi na kutengeneza assist za kutosha, Martial alistahili kuitwa timu ya Taifa, kwakuwa hao walioitwa sioni wa kumuweka benchi.

View attachment 780561
Bora mkuu ungesema mtu kama rabiot na benzema,lakini sio martial,huyo martial ni kama sanchez au iniesta yani anavutia kumfikilia lakini havutii kwenye mfumo wa makocha wengi,benzema naamini angeongeza kitu kutokana na experience ya mashindano makubwa na pia jamaa si haba uwezo anao japo anakosa magoli sana lakini laiti akizungukwa na mtu kama pogba,Tolliso,Lemar,au mbappe ana weza kuwa bora sana kuliko mategemeo ya wengi....Rabiot ungekuwa mbadala mzuri katika upande wa kiungo pia ni mzuri kumiliki mpira na kugawa pass...
 
Back
Top Bottom