Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 575
- 917
Uko sawa 100% mkuuMakonda Kuna Vitu huwa anahisi kama anafanya Ubunifu ila havina Logic yoyote ile kabisa wakuu, just imagine cost zilizotumika kumleta uyo Drogba zinabebwa na nani? Kwa sababu sio marafiki najua watu wengi hata hapo wizarani watakuwa wanamcheka tu jamaa Kwa aina hio ya Ushamba Mkubwa
Yake yale ya Wasukuma Kulipwa Hela ili wapige Picha na Jey blass wa misukosuko
Ushamba wa kiwango Cha juu kabisa