CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Nyamitako ana upuuzi mwingi sana
Nyamitako mwenyewe sasa na mitako yake:-Nyamitako ana upuuzi mwingi sana
Najaribu kuwaza ni Kiingereza cha aina gani ambacho Makonda ananena na Drogba hapo, nadhani Drogba atashangaa sana!Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
una habari juu ya kuifungua nchi nduguLengo ni lipi hasa kuja kwa star huyo nchini?
Wallah nimejuta kuzaliwa Tanzania 🤣🤣🤣Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Samia fukuza Bashite kwenye baraza la mawaziri. Huu uchuro hauvumiliki!!
Hapo ndipo wapinzani you fall in a wrong trap. Ku assume kuwa mtu anapounga mkono hatua ya Serikali ni CCM. Na kuwa mpinzani siyo kuwa pingapinga hata kwa mambo yenye faida kwa nchiLini umehama CCM?
Msambwanda unazidi kumuelemea
Amejaaliwa msambwanda akanyimwa akili. Mzee six alifaidi sana.Msambwanda unazidi kumuelemea
Drogba anatakiwa afahamu kuwa
View attachment 3583612
Yuko kibiashara, mengine yote ni acting tu amalize muda wake aondoke.Ukimwangalia usoni drogba ni kama vile tabasamu halijatoka moyoni
Kama anajlizimisha kutabasamu
Litoke moyoni Kwa lipi sasa hapo Kwa mfano,Ukimwangalia usoni drogba ni kama vile tabasamu halijatoka moyoni
Kama anajlizimisha kutabasamu
Alhamisi anakualika wewe Mkuu gharama juu yake ..ukitoka bungeni anakupeleka mbuga za wanyama kutalii bure Kwa mwezi mzimaBASHITE anawakubali sana mastaa kutoka nje. Mpaka leo bado ahadi yake ya kumleta Arnold Swaziniger pale Arusha hajaitimiza! Anakuja kufanya nini, anajua mwenyewe.