Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 575
- 917
Uko sawa 100% mkuuMakonda Kuna Vitu huwa anahisi kama anafanya Ubunifu ila havina Logic yoyote ile kabisa wakuu, just imagine cost zilizotumika kumleta uyo Drogba zinabebwa na nani? Kwa sababu sio marafiki najua watu wengi hata hapo wizarani watakuwa wanamcheka tu jamaa Kwa aina hio ya Ushamba Mkubwa
Yake yale ya Wasukuma Kulipwa Hela ili wapige Picha na Jey blass wa misukosuko
Ushamba wa kiwango Cha juu kabisa
Samia fukuza Bashite kwenye baraza la mawaziri. Huu uchuro hauvumiliki!!Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Inafikirisha sana na Taifa leti hili hata Investigative journalist hawapo kabisa, Issue kama hii ya Drogba ilipaswa iwe openly kabisa kuwa, where did we get the funds to bring him here?Drogba atakuwa amegharamiwa kila kitu, nataka tu kujua hizo gharama zimelipwa na Makonda personally au na serikali kupitia kodi zetu?
unaweza kumshtaki pale ufipaDidier Drogba apelekewe moto hadi ajue hatutaki usenge wa kusafisha wauwaji by Think Different
Anakuja kuhalalisha mauaji ya watanganyika. Makonda anadhani kwa vile watanganyika ni malofa wa mpira watasahau mauaji!
Hakupashwa kupokea mwaliko juu kwa vile hawa ni wauaji!
"Tumshitaki" wapi?
Bahati mbaya journalist wetu nao wanaogopa kupotezwa, sasa wameamua kunyamaza kimya.Inafikirisha sana na Taifa leti hili hata Investigative journalist hawapo kabisa, Issue kama hii ya Drogba ilipaswa iwe openly kabisa kuwa, where did we get the funds to bring him here?
Huku sasa ni kuchanganyikiwaDidier Drogba apelekewe moto hadi ajue hatutaki usenge wa kusafisha wauwaji by Think Different
Anakuja kuhalalisha mauaji ya watanganyika. Makonda anadhani kwa vile watanganyika ni malofa wa mpira watasahau mauaji!
Hakupashwa kupokea mwaliko juu kwa vile hawa ni wauaji!
"Tumshitaki" wapi?
Kwa wananchiDidier Drogba apelekewe moto hadi ajue hatutaki usenge wa kusafisha wauwaji by Think Different
Anakuja kuhalalisha mauaji ya watanganyika. Makonda anadhani kwa vile watanganyika ni malofa wa mpira watasahau mauaji!
Hakupashwa kupokea mwaliko juu kwa vile hawa ni wauaji!
"Tumshitaki" wapi?
Drogba atakuwa amegharamiwa kila kitu, nataka tu kujua hizo gharama zimelipwa na Makonda personally au na serikali kupitia kodi zetu?
Makonda sasa hivi yupo kwenye operation ya kumsafisha mama yao na serikali yake, na baada ya kuondoka Makamba Snr, naona sasa Makonda ndie mtoto pendwa.
Tunamwona mheshimiwa Jokate hapo nyuma ikimpendeza tumpate Drogba Jr miaka kadhaa ijayo.Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Hii imekaa poa sana japokuwa hii nafasi alitakiwa apewe Nzengeli a.k.a mapafu ya Duma.Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027