Ni hilo tu ndilo lililokufanya umuone bora mbele ya Pele?Huyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele. Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.
Dah 1986!!!.Huyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele.
Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.
Hiyo ilikuwa ni World Cup final ya 1986, mpaka leo nakiri kusema hapajatokea wa aina yake.
R.I.P Diego Armando Maradonna.
Thubutuu hizi TV zina balaaaDu noma sana, RIP Maradona, Gwiji wa kufunga magoli ya mikono bila kuonwa na refa pia, Nadhani hata VAr isingeona.
Legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Hlo jna lako linanikumbusha mbali sana..Sembe + Pombe kali daaah
Resti ini pisi
Unampenda Allah wakati avatar yako ni kidemu kinatega watu. Pole.Kuishi maisha yanayompendeza Allah ni kitu bora sana.. Ila pumzi ndo zinatuadaisha kwa kujiona kuwa bado tunatamba na tutaishi muda mrefu..
Ujana unatuzuzua vya kutosha mno..
Sijui safar yangu mie itakuwaje [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwakuwa tuko msibani, haipendezi kubishana.. Wewe pele humjui(hujamfatilia) vizuriHuyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele.
Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.
Hiyo ilikuwa ni World Cup final ya 1986, mpaka leo nakiri kusema hapajatokea wa aina yake.
R.I.P Diego Armando Maradonna.
Yeye na waingereza ni mafuta na maji.Mwenyezi Mungu amlaze pahali panapostahili...
Last time i checked alisema anatamani aifunge England kwa Mkono wa Mungu mwingine...
Kwa kubwia ungaHata hivo kadumu sana, nyoka ana nafuu
Kwa hio pombe inasababisha watu kufa????.....ihiiiiiiiiiiiiKwa wataalam, tafadhali: Ni nini kisababishi cha uraibu wa pombe? Please? Kwa sababu huyu alikuwa tajiri!!
Mwenye hata clip za uchezaji wake Wa enzi izo za gori LA mkono LA Mungu jaman atuwezeshe connection...