TANZIA Diego Maradona afariki dunia

TANZIA Diego Maradona afariki dunia

Huyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele. Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.
Ni hilo tu ndilo lililokufanya umuone bora mbele ya Pele?
 
Legend
kunvector_20201125_214709_0.jpg
 
Huyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele.

Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.

Hiyo ilikuwa ni World Cup final ya 1986, mpaka leo nakiri kusema hapajatokea wa aina yake.

R.I.P Diego Armando Maradonna.
Dah 1986!!!.
 
Mwenye hata clip za uchezaji wake Wa enzi izo za gori LA mkono LA Mungu jaman atuwezeshe connection...
 
Huyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele.

Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.

Hiyo ilikuwa ni World Cup final ya 1986, mpaka leo nakiri kusema hapajatokea wa aina yake.

R.I.P Diego Armando Maradonna.
Kwakuwa tuko msibani, haipendezi kubishana.. Wewe pele humjui(hujamfatilia) vizuri

R.i.p legend
 
Mwenyezi Mungu amlaze pahali panapostahili...

Last time i checked alisema anatamani aifunge England kwa Mkono wa Mungu mwingine...
Yeye na waingereza ni mafuta na maji.

Usikute kuna maingereza yanafurahia umauti wake..
 
Back
Top Bottom