Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ni hilo tu ndilo lililokufanya umuone bora mbele ya Pele?Huyu kwangu ndie alikuwa mchezaji bora wa karne, sio Pele. Kwanza aliwafunga waingereza goli la mkono wakapiga sana kelele kwa refa akakataa, jamaa ni kama akawaambia nyie hamnijui, goli lililofuata aliwapiga chenga karibia timu nzima ya Uingereza mpaka kipa wao akaenda kuweka kambani, hapo akawafunga midomo kabisa.