NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Swahiba wa Nape.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Diego nae alikua vuvuzela?Swahiba wa Nape.
Dah!Hapo akiwa lamba vyemga akina tery butcher terry Fenwick na glen hoddle alikuwa miongoni mwa magoli mazuri waqt huo mnatizama recorded baada ya siku mbili kupitia mikanda ya vhs ilikuwa khatari sana.
#teampixel #madebygoogle
Ila huu mwaka wa 2020....na uishe tu!Unguja hawa jamaa walikuwa mbele yetu kwenye mambo haya ya TV mapema mzee karume aliliona hilo
Kwa wataalam, tafadhali: Ni nini kisababishi cha uraibu wa pombe? Please? Kwa sababu huyu alikuwa tajiri!!He was released from the clinic in Buenos Aires two weeks ago.
The Argentine FA confirmed the news on social media, releasing a statement on Maradona's death.
"The Argentine Football Association, through its President Claudio Tapia, expresses its deepest sorrow for the death of our legend, Diego Armando Maradona.
"You will always be in our hearts.
![]()
Diego Maradona dead: Argentina legend dies aged 60
Diego Maradona has died after suffering a cardiorespiratory arrest.www.express.co.uk
Yaah kila nafsi itaonja umauti ila akiondoka mtu maarufu kutokana na namna ulivyokuwa ukimuhusudu unahisi kama umeondokewa na nduguyo wa damu vimeondoka vyuma vingi maarufu hii 2020Ila huu mwaka wa 2020....